GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.