Maisha ya huku Kijijini nchini Rwanda yananifanya niwe mbali kwa muda sasa na wana JamiiForums na kiukweli nimewamisi mno

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.
 
Simba Sport Club ndo bingwa kwa sasa Tanzania Bara,Na Rais wetu mpendwa wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh JPM yuko njema,anachapa kazi ile mbaya yaani utadhan ndo ameapishwa leo kwa jinsi anavyochapa kazi
 
Napamiss sana kwa shangazi yangu hapo nyakarambi, tafadhali ulete na pili pili yetu Akabanga ili tuchangamke
 
Tutamiss ubashiri wa mechi ya chura na mnyama
 
Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.
mbona tunaaminishwa huko rwanda ni kitovu cha teknolojia?
 
Sasa kama nilikuwa katika Handaki huku Kijijini Kwetu kwa Miundombinu ya huku hiyo Teknolojia yako itaweza Kunasa na Kufua Dafu kweli Mkuu?
 
Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.
mwambie Tanzania imeeingia uchumi wa kati tunawaombea rwanda nao wafanye kazi kwa bidii ili walao baada ya miaka 20-50 wawe wamekuwa middle income country HAPA KAZI TU
 
Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.

Pole sana mkuu, lakini huku TZ kwetu kwa kweli mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache

1, Simba wameshapewa ubingwa maana nguvu ya ziada ilitumika mkuu, mpaka spika wa bunge alitaka awasaidie maana kila sehemu nyie, na ile hotuba ya waziri mkuu siku ya kuvunjwa bunge kwa kweli ilidhihirisha na yeye yupo upande wenu

2. pia simba mlitoka sara Pale sokoine studium na prison, ilibaki kidogo mpigwe bao na mtobolewe matundu

3. Nakuombea urudi kabla ya tar 11 mkuu maana Mnyama atakufa pale taifa, Jaribio lenu la kumhadaa Morison limeshindwa so bado yupo yanga mkuu!

4. Juzi pia timu ilisafirishwa kwenda Lindi kwa BASI mkuu (zaid ya km 500) kiukweli mmetia aibu, sana polen sana
 
Umeanza Kuvuta lini Bangi / Bange Mkuu?
 
Back
Top Bottom