GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wasalimie nyumbani nilikozaluwa pale Cyangugu
mbona tunaaminishwa huko rwanda ni kitovu cha teknolojia?Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.
karudi kwaoGenta ulipotelea wapi man?
atakuwa mtusi huyuHongera, swali Wewe ni muhutu ama mtutsi?
Genta ulipotelea wapi man?
mbona tunaaminishwa huko rwanda ni kitovu cha teknolojia?
mwambie Tanzania imeeingia uchumi wa kati tunawaombea rwanda nao wafanye kazi kwa bidii ili walao baada ya miaka 20-50 wawe wamekuwa middle income country HAPA KAZI TUPokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.
Pokeeni Salamu zenu nyingi kabisa kutoka hapa Nyumbani Mkoani Gisenyi nchini Rwanda. Nashindwa kuwa nanyi mara kwa mara kwakuwa huku Kijijini ( Shambani ) nilipo kuna muda Mtandao haukamati kabisa. Za huko Tanzania Marafiki zangu. Vipi Rais JPM anaendeleaje? Klabu yangu pendwa ya Simba inaendeleaje? Nawapendeni nyote na karibia nitakuja huko Kwenu nchini Tanzania Kuwatembeleeni. Karibuni Rwanda na Rais Kagame anawasalimu mno tu.
Pole sana mkuu, lakini huku TZ kwetu kwa kweli mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache
1, Simba wameshapewa ubingwa maana nguvu ya ziada ilitumika mkuu, mpaka spika wa bunge alitaka awasaidie maana kila sehemu nyie, na ile hotuba ya waziri mkuu siku ya kuvunjwa bunge kwa kweli ilidhihirisha na yeye yupo upande wenu
2. pia simba mlitoka sara Pale sokoine studium na prison, ilibaki kidogo mpigwe bao na mtobolewe matundu
3. Nakuombea urudi kabla ya tar 11 mkuu maana Mnyama atakufa pale taifa, Jaribio lenu la kumhadaa Morison limeshindwa so bado yupo yanga mkuu!
4. Juzi pia timu ilisafirishwa kwenda Lindi kwa BASI mkuu (zaid ya km 500) kiukweli mmetia aibu, sana polen sana