Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Kuna demu mmoja nlikuwa namuona kwny picha nasema huyu mtt balaa sasa nikakutana nae mlimani cty mwnyw nlichoka...zile picha wanasafisha na nn jamani?!
 
Mimi nilikuwa simfahamu demu mmoja wa Kenya anaitwa Huddah..

Sasa nikiwa naperuzi inst nikaona picha za demu mkali anapost, nikamfollow nikacheck picha zake aisee demu yupo bomba kichizi, nika m dm akajibu fresh kwa kuwa alikua alikuwa demu mkali akaniambia nipo wapi nikafake ili nimpate nikamjibu nipe State, akaniuliza wapi huko ni mkoa gani, dah nikasema mbona demu kama mkali halafu mjanja hajui State ni wapi, nikamwambia nipo Unyamwezi akaniambia kumbe wewe upo Tabora, akaniambia nisimsumbue tena, dah nikamwambia hapana nipo Unitee State Of America (Marekani) akajichekesha akaniambia utarudi lini nikamjibu kesho kutwa akaniambia nikirudi nimletee zawadi ya Iphone 5 nikamwambia poa,

Sasa kuja kudadisi nikaja nikangundua yule pimbi alikuwa anatumia picha za Huddah wa kenya, siku nimemwambia nipo bongo tukutane, akaniambia tukutane cocobeach, nilipo enda kumwona demu mwenye coco dah..
Wasapu fesibuku mpaka twita baru telegram mpaka insta kila kona mazee nayopita nakutana na picha
 
Mkuu sio insta tu hata JF siku hizi maisha ya hapa noma sana.

Kila mtu ni dingoo ana kimango chakutosha, kila mtu hapa JF anamilikia dinga kali kali.

Wengi hapa JF ni diaspora wako mambele huko wanafanya maisha hata ya kubeba boksi.
[emoji2][emoji2][emoji2] umenifurahisha sana. Umesahau kuwa wengi hapa wana iPhone na Samsung. Sie wenye Itel tunashida wallahi
 
Diva the bawse ndo fake kabisa
Ukimuona insta utamtamani,lakini ukimuona live kama bundi vilee!!!
Hahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
 
Hili neno diaspora lina maana gani Mkuu?
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili ya Oxford iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018 tolea namba 1 inatafsiri neno DIASPORA kuwa ni Raia aishie nje ya nchi yake kwa kubeba boksi kwenye masupamaketi, kuendesha matreka mashambani, kuzibua mitaro, kuoa/kuolewa na vikongwe wa nchi aliyopo, kujiuza (Kuwa kahaba wa kike au kiume), kufanya kazi za ndani (housemaid), na kazi zingine za kipato cha chini ambacho raia wa nchi aliyopo ni aibu kuzifanya.
 
Yaani kule ukiwa na roho ndogo unaweza kufa ghafla

Insta wadada wote weupe na wote matajiri hakuna masikini kabisa kama sie hapa
Ukitumia sana inst bila kuchanganya na zako unaweza kuwa mwizi ili upate hela uwe class,

Kuna page flani ya inst aisee kuna madogo wanamagari makali ukigeuka huku pimbia yupo hotel ya five * haha
 
Mimi nilikuwa simfahamu demu mmoja wa Kenya anaitwa Huddah..

Sasa nikiwa naperuzi inst nikaona picha za demu mkali anapost, nikamfollow nikacheck picha zake aisee demu yupo bomba kichizi, nika m dm akajibu fresh kwa kuwa alikua alikuwa demu mkali akaniambia nipo wapi nikafake ili nimpate nikamjibu nipe State, akaniuliza wapi huko ni mkoa gani, dah nikasema mbona demu kama mkali halafu mjanja hajui State ni wapi, nikamwambia nipo Unyamwezi akaniambia kumbe wewe upo Tabora, akaniambia nisimsumbue tena, dah nikamwambia hapana nipo Unitee State Of America (Marekani) akajichekesha akaniambia utarudi lini nikamjibu kesho kutwa akaniambia nikirudi nimletee zawadi ya Iphone 5 nikamwambia poa,

Sasa kuja kudadisi nikaja nikangundua yule pimbi alikuwa anatumia picha za Huddah wa kenya, siku nimemwambia nipo bongo tukutane, akaniambia tukutane cocobeach, nilipo enda kumwona demu mwenye coco dah..
hahaha
 
[emoji2][emoji2][emoji2] umenifurahisha sana. Umesahau kuwa wengi hapa wana iPhone na Samsung. Sie wenye Itel tunashida wallahi
Yap kuna ile stail mpya imeingia anaazima iphone kwa mshkaji alafu anapiga picha akiwa anajiangalia kwenye kioo ili ole logo ya apple ionekane afu anapost[emoji23]
 
Kama mie nilivyo humu JF aiseee ni mdada/mmama wa kitajiri sana najua kizungu balaa

Ila maisha halisi utanikimbia kwa kushangaa ndo huyu jina kubwa JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nilikuwa simfahamu demu mmoja wa Kenya anaitwa Huddah..

Sasa nikiwa naperuzi inst nikaona picha za demu mkali anapost, nikamfollow nikacheck picha zake aisee demu yupo bomba kichizi, nika m dm akajibu fresh kwa kuwa alikua alikuwa demu mkali akaniambia nipo wapi nikafake ili nimpate nikamjibu nipe State, akaniuliza wapi huko ni mkoa gani, dah nikasema mbona demu kama mkali halafu mjanja hajui State ni wapi, nikamwambia nipo Unyamwezi akaniambia kumbe wewe upo Tabora, akaniambia nisimsumbue tena, dah nikamwambia hapana nipo Unitee State Of America (Marekani) akajichekesha akaniambia utarudi lini nikamjibu kesho kutwa akaniambia nikirudi nimletee zawadi ya Iphone 5 nikamwambia poa,

Sasa kuja kudadisi nikaja nikangundua yule pimbi alikuwa anatumia picha za Huddah wa kenya, siku nimemwambia nipo bongo tukutane, akaniambia tukutane cocobeach, nilipo enda kumwona demu mwenye coco dah..
Hii ni chai
 
Kuna demu mmoja nlikuwa namuona kwny picha nasema huyu mtt balaa sasa nikakutana nae mlimani cty mwnyw nlichoka...zile picha wanasafisha na nn jamani?!
kuna omo maalum
 
Back
Top Bottom