Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Hili neno diaspora lina maana gani Mkuu?
Ni neno linalotokana na maneno mawili/matatu; Dai ya sipora. Aliyekuwa analitamka akashindwa kulitamka ka lilivyo andikwa. Yaani "Dai ya Sipora" au Dai pia sehemu ya sipora/ shitaka la sipora. Usiogope ka weye hudaiwi.
 
Maisha ya mitandaoni ni usanii mtupu wanafeki life hasa hawa wanajiita wasaniii hakuna kitu njaa tupu
 
Kila mtu ana good life kule,
Kweli kabisa kama uku JF kila mtu ana mastazi , ana degree wenye diploma wachache na weng waajiliw na magu pia bila kusahau wanaendesha tugari tuzuri na kiwakebehi wengine kwamba hawana hata baby wolker[emoji23]
 
Siku nikinunua Boda boda haki ya nani nakuja kuanzisha uzi humu, msipo changia nacomment mwenyewe, yan kila nusu dk upo ON TOP, nshagundua Haya maisha bila sifa huchomoi, kijana mdg lakn kila ninaemfuata PM hanijui lakn anamiamkia, Shwain Jf mnadharau sana nyie, kwanza inaonesha nitakua namaisha mazur sana mana kila siku naota ninaendesha boda boda yangu tarajiwa ya KINGLION
 
Siku nikinunua Boda boda haki ya nani nakuja kuanzisha uzi humu, msipo changia nacomment mwenyewe, yan kila nusu dk upo ON TOP, nshagundua Haya maisha bila sifa huchomoi, kijana mdg lakn kila ninaemfuata PM hanijui lakn anamiamkia, Shwain Jf
Hahahaha Aisee
 
Insta haitikii huku jf...
kila mtu Ana gari...
wengi wanakaa mambele uko..
hakuna aneyekaa nyumba/chumba cha kupanga...
Wanawake wote humu ni warembo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…