Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katoka muuaji kaingia muuajiAjirekebishe, aache kuropoka ropoka. Kwa ujumla sasa akue. Tatizo la UVCCM ni uuaji.
Wqpo wengine wanapambana uvccm hukoSiyo lazima wote tupambane huko kwenye uvccm yenu! Sisi wengine tunapambana huku mtaani kiasi cha kuitwa Mabosi!
Watajifunza wanaotaka kupitia njia ya siasa bali sisi wengine tunapitia njia ya Utumishi wa umma kupanda ngazi ila sio za ccm hizo pandeni wenye chama chenuJE, WAJUA?
Maisha ya Kenani yanatupa Somo
- Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa
- Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO
- Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi.
- Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata.
- Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya.
- Mjumbe wa Kamati ya siasa ya Mkoa.
- Mjumbe wa halmashauri kuu ya Mkoa.
- Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa,
- Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa
- Amegombea udiwani akakosa
- Akagombea uenyekiti UVCCM wilaya akakosa
- Akagombea uenyekiti wa UVCCM mkoa akapata
- Akaenda China kuwakilisha mkutano wa kiuchumi wa Vijana 2018
- Akateuliwa kukimbiza mwenge wa Uhuru kitaifa
- Akateuliwa kuwa DC Wialaya ya Arusha, baadae Akateuliwa tena Wilaya ya Iramba
- Leo Mwenyekiti wa CCM TAIFA Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Kamati Kuu ya CCM wanamteua kuwa katibu mkuu UVCCM Taifa.
Usikate tamaa, kuwa muadilifu, kuwa mzalendo, penda kujitolea na ishi kwa kuheshimu wengine. Wakati wa Mungu ukifika utainuka. Kazi iendelee
Inavyoonekana jamaa kawekeza kwenye siasa.
JE, WAJUA?

PointKila mtu anapambana kwenye nafasi yake.
Wengine wanapambana huku mitaani.
Nyie mnapambana kwenye siasa!
Ova
Kumbe ndiye huyu na roho yake ya korosho! Nadhani hii ndiyo ingekuwa CV yake namba moja!Mafanikio ya hiyo CV,
Kuchapa viboko?
Hawa kwenye siasa ni matapeli. Kupambana kwao ni kwa kuzidiana kujipendekeza na ghilba. Halafu watanzania wengi siku hizi wanaamini kuteuliwa kuwa kiongozi ndiyo kilele cha mafanikio. Kama huyu mwanzisha thread amejaribu kuonyesha eti jamaa kapambana lakini mimi sioni alichopambana nacho bali ni mtu aliyeamua kuwa njia anayodhani itampa kula yake ni siasa.Kila mtu anapambana kwenye nafasi yake.
Wengine wanapambana huku mitaani.
Nyie mnapambana kwenye siasa!
Ova
Huko bila kuropoka utakubalika? Unataka kusema mtu anaweza kukubalika kwenye kundi la matapeli bila kuwa tapeli?Ajirekebishe, aache kuropoka ropoka. Kwa ujumla sasa akue. Tatizo la UVCCM ni uuaji.
Mwanasiasa yoyote unafki lazima awe naoHawa kwenye siasa ni matapeli. Kupambana kwao ni kwa kuzidiana kujipendekeza na ghilba. Halafu watanzania wengi siku hizi wanaamini kuteuliwa kuwa kiongozi ndiyo kilele cha mafanikio. Kama huyu mwanzisha thread amejaribu kuonyesha eti jamaa kapambana lakini mimi sioni alichopambana nacho bali ni mtu aliyeamua kuwa njia anayodhani itampa kula yake ni siasa.