Maisha ya Kenani Kihongosi ni somo; hii ndiyo safari yake Kiongozi

Mbona sasa ana roho mbaya ya chuki ya kutamka zito auwawe Ina maana alipopita kote huko ajajistructure Ili awe civilized
 
Siyo lazima wote tupambane huko kwenye uvccm yenu! Sisi wengine tunapambana huku mtaani kiasi cha kuitwa Mabosi!
Wqpo wengine wanapambana uvccm huko
Wengine wanapambana bavicha
Wengine wanapambana mahakamani huko
Wengine wanapambana baharini huko
Wengine wanapambana kwenye biashara

Si wengine tuko huku mbali tunapambana na wakulima wa --- tunawaletea longolongo uwongo mwingi,tupate ugali

Ova
 
Alisema yale maneni mabaya ndo akapata UDC
 
Watajifunza wanaotaka kupitia njia ya siasa bali sisi wengine tunapitia njia ya Utumishi wa umma kupanda ngazi ila sio za ccm hizo pandeni wenye chama chenu
 
Ifike mahali ujinga wa namna hiyo isipewe air time

Yani mafanikio ya kisiasa tunayapa air time sana ndio maana Teuzism disoder inatawala kwa vijana wengi sana.

Tunaacha kuwa air time wataalamu tunawapa wanasiasa uchwara
 
Inavyoonekana jamaa kawekeza kwenye siasa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mi sio CCM, Ila namkubali. nimekutana nae kama mara 2 arusha. Ni chalii poa sana.
 
Yaani kukimbiza mwenge eti ni cv ya kumoatia mtu uongozi.
 
Mafanikio ya hiyo CV,
Kuchapa viboko?
Kumbe ndiye huyu na roho yake ya korosho! Nadhani hii ndiyo ingekuwa CV yake namba moja!
Jeshini kwa wasiojulikana hakupita kweli huyu! Ndani ya CCM huyu ni mtaji, nje ya CCM hafai!

Your browser is not able to display this video.
 
Kila mtu anapambana kwenye nafasi yake.

Wengine wanapambana huku mitaani.

Nyie mnapambana kwenye siasa!

Ova
Hawa kwenye siasa ni matapeli. Kupambana kwao ni kwa kuzidiana kujipendekeza na ghilba. Halafu watanzania wengi siku hizi wanaamini kuteuliwa kuwa kiongozi ndiyo kilele cha mafanikio. Kama huyu mwanzisha thread amejaribu kuonyesha eti jamaa kapambana lakini mimi sioni alichopambana nacho bali ni mtu aliyeamua kuwa njia anayodhani itampa kula yake ni siasa.
 
Ajirekebishe, aache kuropoka ropoka. Kwa ujumla sasa akue. Tatizo la UVCCM ni uuaji.
Huko bila kuropoka utakubalika? Unataka kusema mtu anaweza kukubalika kwenye kundi la matapeli bila kuwa tapeli?
 
Mwanasiasa yoyote unafki lazima awe nao

Ndomana watu wanaambiwa usimpe dhamana mwanasiasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…