Maisha ya Kiduku Lilo

Maisha ya Kiduku Lilo

Hivi Kiduku Lilo yupo jamani au alikufa na Corona huko ng'ambo?
 
Unaweza shangaa muda unaotumia kuandika hayo yote,nikupoza njaa maana inawezekana hujala toka jana
 
Haiwezekani ! kapunwa na Mademu wa Bagamoyo au TRA ? Kiduku Lilo huyu huyu mzee wa Magari ya bei kali ?
Mkuu ni roho tu mbaya za kimaskini. Nlikuwa sijui maana ya kufirisika ndo nmeuliza nikaambiwa ni kupungukiwa mali au pesa.Sijapungukiwa ndo kwanza zinaoongezeka.Mimi nipo nlikuwa tu katika safari nje ya nchi
 
Back
Top Bottom