Maisha ya Kiduku Lilo

Hivi Kiduku Lilo yupo jamani au alikufa na Corona huko ng'ambo?
 
Unaweza shangaa muda unaotumia kuandika hayo yote,nikupoza njaa maana inawezekana hujala toka jana
 
Haiwezekani ! kapunwa na Mademu wa Bagamoyo au TRA ? Kiduku Lilo huyu huyu mzee wa Magari ya bei kali ?
Mkuu ni roho tu mbaya za kimaskini. Nlikuwa sijui maana ya kufirisika ndo nmeuliza nikaambiwa ni kupungukiwa mali au pesa.Sijapungukiwa ndo kwanza zinaoongezeka.Mimi nipo nlikuwa tu katika safari nje ya nchi
 
I am back madam. I travelled almost all over America. Sasa nipo napata mapumziko but nadhani weekend hii ntaenda Zanzibar.
Welcome back jamaniii

Anzisha hata uzijamani watu wana hamu ya kuona uzi wako baada ya muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…