DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.
Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.
Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.
Warembo wa huku ni wale ambao hawana Exposure na Maisha yeye Kachori na mihogo ya kukaanga ni bora Sana kuliko mkate wenye blueband .
Elimu , huku vijana wengi hawajaenda shule na walioenda shule wengi kwao shule sio kipaumbele.
Tabia ,Kama ilivyo vijijini na uswahilini watu wengi wanaamini katika kuvunja Nazi njia panda.
Majungu ,fitina , roho mbaya n.k huku ndo mahala pake.
Hivyo wewe kijana uliyeko kijijini utakapokuja dsm na ukafikia uswahilini Basi fahamu tu mazingira hayatakusumbua.