Maisha ya Kuigiza: Kajala amiliki simu aina samsung galaxy note 4 ambayo bado haijatoka sokoni

Usupa staa ni mzigo wa ma....vi (uharo) ukiubeba ukubali kunuka na kuumwa kipindupindu
 
Kiranga

tatizo tumejikita kwenye negativity.
 
Last edited by a moderator:

inatosha kwako wewe....ndio maana zipo simu tofauti kwa watumiaji tofauti....mimi nina techno lakini siwezi kumuona mwenye galaxy s4 mjinga kununua hio simu anasababu zake....muhimu nafsi iridhike tu
 
Hii simu kwa nchi Kama China tayari imeshatoka. Na inauzwa karibu Milioni na nusu kwa pesa za kitanzania. Na ni kama wiki ya pili sasa tangu itoke.
Tusiwe na chuki zisizo na msingi

Nani amchukie muuza K?
 
Kiranga

Acha kutetea ujinga, labda huwajui Bongo mavi.

Billionare Diamond ana BMW X6 used ndio sembuse huyu anayeishi kwa hisani ya K?
 
Last edited by a moderator:
Kwani hiyo simu ni big deal kihivyo?

My dude umasikini wa mawazo tabu sana.

Watu wanahangaika kutafuta dawa ya Ebola na kufanya kilimo cha umwagiliaji Mars.

Huku sie mtu anayejulikana kwamba ni controversial kajipigia picha sinu yake, the weak minded are frenzied.
 
Akifake maisha, na wewe ukamuweka mawazoni kiasi cha kumuandika hapa, wewe una muda wa kufuatilia watu wanao fake maisha.

You are worse than those who fake it.

That's is ur opinion, neno lako si sheria wala msaafu.
 
My dude umasikini wa mawazo tabu sana.

Watu wanahangaika kutafuta dawa ya Ebola na kufanya kilimo cha umwagiliaji Mars.

Huku sie mtu anayejulikana kwamba ni controversial kajipigia picha sinu yake, the weak minded are frenzied.

You have weak mind indeed, hao wanaitwa kioo cha jamii na wana followers wao huko Instagram ni lazima tukemee ujinga huu.

Ujinga unaolikabiri Taifa unatosha sana hatuwezi kumchekea mtu anayetaka kuwajaza ujinga vijana wetu.
 
Kioo cha jamii maana yake nini?
 
That's is ur opinion, neno lako si sheria wala msaafu.

It's logical actually. If you have the processing power to burn following who is posting which phone, you must consider that shyt important enough.

You are following Kajala like some people are following the British royals.

She must be your queen or something.
 
You have weak mind indeed, hao wanaitwa kioo cha jamii na wana followers wao huko Instagram ni lazima tukemee ujinga huu.

Ujinga unaolikabiri Taifa unatosha sana hatuwezi kumchekea mtu anayetaka kuwajaza ujinga vijana wetu.

Apparently my mind is not weak enough to follow Kajala and bitch about her posts.

Sasa kama kioo cha jamii, na wana followers, na followers wao ndio wanapenda mambo hayo, wewe kinachokusumbua ni nini?
 
You have weak mind indeed, hao wanaitwa kioo cha jamii na wana followers wao huko Instagram ni lazima tukemee ujinga huu.

Ujinga unaolikabiri Taifa unatosha sana hatuwezi kumchekea mtu anayetaka kuwajaza ujinga vijana wetu.

Hivi ni ujinga gani haswa unaokemea hapa?

Mtu amepost simu yake kwenye kurasa yake wewe mishipa ya mkndu inakutoka kwa kubwatuka, auoni nani mjinga hapa?
 
You have weak mind indeed, hao wanaitwa kioo cha jamii na wana followers wao huko Instagram ni lazima tukemee ujinga huu.

Ujinga unaolikabiri Taifa unatosha sana hatuwezi kumchekea mtu anayetaka kuwajaza ujinga vijana wetu.

Nikiwaambiaga kina matumbo kuwa hao maboss wao wana akili duni Sana ambayo haiwazeshi kufikiri nje ya chakula....pombe...ngono na kwenda chooni wanakasirika Sana.....

labda uwe duni kifikra Kama wao unaweza kuwatetea ....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…