Maisha ya Kuigiza: Kajala amiliki simu aina samsung galaxy note 4 ambayo bado haijatoka sokoni

Maisha ya Kuigiza: Kajala amiliki simu aina samsung galaxy note 4 ambayo bado haijatoka sokoni

Mbona sioni popote kwenye hiyo picha panaposema yeye anaimiliki hiyo simu...? Kuna sehemu aliandika kuwa anaimiliki?
 
Wasanii wengi bongo hawajaenda shule,,ndio maana Nigeria wapo mbele.
 
Sasa nimeona kuna kila haja ya kuanza kuweka kumbukumbu ya wasanii wote ambao wanaleta mbwembwe kila kukicha ili hata siku wakiumwa na kuanza kuomba msaada wa matibabu, iwe rahisi kuwakumbusha ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Alaaaaaaaa
 
Ni sheedaaa simu standard yenye kusupport instagram,whatsapp,opera,email za exchange/pop3,skype front cam inatosha! Kutoa dola 1000 kwa ajili ya kuorder SG N4 halafu simu yenyewe unaweka vocha za jero jero wala si post paid basi ni majanga mengine bora uiuze ufuge kuku kama kala jeremiah alivoshauri.

Ingekuwa hivyo basi hata tv ya chogo inatosha kwakuwa inaonyesha kila kitu kwanini utoe ela nying kununua flat Led tv.
Starlet inatosha ina a.c, inakufikisha mahali unakoenda kwanini utoe ela nyingi kununua mark x.
Lakini si kweli kila mtu ana preferences zake I am sure hata wewe kuna vitu unavyo ambavyo si muhimu maana kuna substitute yake.

Lakini pia haimake sense mtu mshahara wako lak 8 unaenda jibana ununue simu milion 1.2.
 
Bongo movie asilimia 99.9 ni pure vilaza
aisee umetutusi pakubwa sana sonia...

kajala kafanya maisha take binafsi huko plz tusihusishwe tasnia nzima...

siku zaja tutakapokuwa na management nzuri ambayo iko excel na surpass zaidi...
its about time... continue loading..
 
Sasa nimeona kuna kila haja ya kuanza kuweka kumbukumbu ya wasanii wote ambao wanaleta mbwembwe kila kukicha ili hata siku wakiumwa na kuanza kuomba msaada wa matibabu, iwe rahisi kuwakumbusha ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Alaaaaaaaa

point ya msingi sana hii mkuu.. lakini kwenye jamii yetu kusaidiana ni jadi yetu...
 
Mbona sioni popote kwenye hiyo picha panaposema yeye anaimiliki hiyo simu...? Kuna sehemu aliandika kuwa anaimiliki?

Nenda instagram ameandika kabisa yeye ameshanunua na anamshauri mdogo wake akanunue ya kwake...!
 
akili kidg alizonazo kajala zimeahamia makalioni..kabaki kama hayawani tu....wiki 3 xilizopita nilimuona mcity macho juu sijui alikua anatafuta bwana limuhonge....Bongo movie ni hopeless ndo maana huwa siangalii uharo wao
 
Hii simu kwa nchi Kama China tayari imeshatoka. Na inauzwa karibu Milioni na nusu kwa pesa za kitanzania. Na ni kama wiki ya pili sasa tangu itoke.
Tusiwe na chuki zisizo na msingi
 
Naavyoona mie kajala was trying kumuelekeza mwenzie kwamba kashaoder ya kwake so na yeye aode ya kwake. Au maybe alikuwa anataka kuwajulisha watu kuwa kuna note 4. en sio kwamba yeye anayo. Koz mpk anapost hivyo unataka kuniambia ajui kuwa haijatoka? wkt yeye anazungukwa na watu ambao wapo up to date na mambo kama hayo jmn. Mmh sijajua bado ila status nimeiona ila sikujua kama she was serious kwamba anayo. Koz ana iphone 6 kanunua juzi tuuu. Na s5 jmn nau hii ataweka line gani sasa
 
Ni sheedaaa simu standard yenye kusupport instagram,whatsapp,opera,email za exchange/pop3,skype front cam inatosha! Kutoa dola 1000 kwa ajili ya kuorder SG N4 halafu simu yenyewe unaweka vocha za jero jero wala si post paid basi ni majanga mengine bora uiuze ufuge kuku kama kala jeremiah alivoshauri.

Usupasta shida sana kuishi kwa uwongo
 
Back
Top Bottom