SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Bongo movie asilimia 99.9 ni pure vilaza
Na ndio wamo kwenye Katiba Pendekezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo movie asilimia 99.9 ni pure vilaza
Siku wakiomba hela za matibabu nitachekaaaaa
wenye hela zao hawawazi bro
Ni sheedaaa simu standard yenye kusupport instagram,whatsapp,opera,email za exchange/pop3,skype front cam inatosha! Kutoa dola 1000 kwa ajili ya kuorder SG N4 halafu simu yenyewe unaweka vocha za jero jero wala si post paid basi ni majanga mengine bora uiuze ufuge kuku kama kala jeremiah alivoshauri.
aisee umetutusi pakubwa sana sonia...Bongo movie asilimia 99.9 ni pure vilaza
Sasa nimeona kuna kila haja ya kuanza kuweka kumbukumbu ya wasanii wote ambao wanaleta mbwembwe kila kukicha ili hata siku wakiumwa na kuanza kuomba msaada wa matibabu, iwe rahisi kuwakumbusha ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo. Alaaaaaaaa
point ya msingi sana hii mkuu.. lakini kwenye jamii yetu kusaidiana ni jadi yetu...
Mbona sioni popote kwenye hiyo picha panaposema yeye anaimiliki hiyo simu...? Kuna sehemu aliandika kuwa anaimiliki?
Hebu njoo huku uniambie hivi wewe huwa ni nani vileeee????
hahahaaa! nikijulikana ntachambwaje humuu!
watu hawana wema aisee...
Hii simu kwa nchi Kama China tayari imeshatoka. Na inauzwa karibu Milioni na nusu kwa pesa za kitanzania. Na ni kama wiki ya pili sasa tangu itoke.
Tusiwe na chuki zisizo na msingi