DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Inspiration speakersGuys , Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.
Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza ...
AaaahInspiration speakers
Haya yote akina Dr Mwigulu, akina Beno Nduru, Akina Prof Mkumbo wanayajua...
Mkuu ajasema ajira ni mbaya ila tujitahidi tuwe na financial freedom.Inspiration speakers
Haya yote akina Dr Mwigulu, akina Beno Nduru, Akina Prof Mkumbo wanayajua...
WATUMISHI WOTE HASA WA KIPATO KISICHOKIDHI MAHITAJI HAYO NDIO MAISHA YAO YA KILA SIKUGuys , Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.
Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza...
Hicho unachosema wengi hawatakuelewa mkuu.Guys , Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.
Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza...
AaahaaaInspiration speakers
Haya yote akina Dr Mwigulu, akina Beno Nduru, Akina Prof Mkumbo wanayajua.
We dogo maliza shida zako kwanza usijifanye mshauri.
Hizo ajira watu wanazililia mtaani.
Makonda amepumzika Miama miwili tu nje ya ajira pamoja na kuwa ni Bilionea na karudishwa ameshukuru sana.
Mental masturbationDR HAYA LAND si unapenda 'knowledge'? Kachimbe kuhusu kitu kinaitwa 'mental masturbation' na ukielewe.
Nafahamu Ila hiyo sio useless au abstract inahitaji uwe deep in thinking kuelewa nini namaanisha we are not here to entertain some DamnDR HAYA LAND si unapenda 'knowledge'? Kachimbe kuhusu kitu kinaitwa 'mental masturbation' na ukielewe.
The guy anamaanisha , kuwa nilichoandika ni kitu dhahania na pointless na hakiwezi kutekelezeka.Mental masturbation
Duh
Inafikirisha sanakukaaa kwa shemeji raha sana
Inawezekana ni plan tuThe guy anamaanisha , kuwa nilichoandika ni kitu dhahania na pointless na hakiwezi kutekelezeka.
Naunga hojakwamba unalipwa 700k unasevu 150k[emoji1][emoji1][emoji1]
hapa umetoa kodi,chakula,afya,usafiri,wategemezi,dharula.bila kuhusisha kabisa starehe,maana hakuna starehe utaifanya kwa mshahara huo lazima utuibie kazini.
nimekutana na watu watumishj wenye uhuru wa kifedha,lakini hawakuupata kwa kusevu.
walikopa wakachanga karata vyema.
waliwahi kuiba kazini kiasi flani cha fedha.
walipata mtaji kutoka kwenye mirathi au migao.
asikwambie mtu,kusevu pesa ni kauli ya kisiasa sana,utatafuta kwanza uhuru kwa kipato nje ya mshahara ndipo uweze kusevu huo mshahara,vinginevyo hakuna uwezekano.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Inawezekana ni plan tu