Maisha ya kuishi kwa kuwaza msahara ni mateso

Maisha ya kuishi kwa kuwaza msahara ni mateso

Matumizi yakiwa juu ya kipato hautaweza experience financial freedom Maisha yako yote

Financial freedom ni matokeo ya kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kwenye bajeti zako za kila siku na kuongeza salio la akiba kila mwezi. Pesa ya akiba ikianza kujaa tu ndipo utakapoanza kuona financial freedom inatokea.

Financial freedom ni matokeo ya kujisimamia tabia zako dhidi ya matumizi ya hovyo ya pesa zako.
 
Kijana Yuko sahihi kabisa, umasikini siyo mzuri, ila hajatoa kikamilifu mfanyakazi afanyeje au atumie kanuni gani ili kujikwamua na umasikini, sawa anatakiwa kusave 150k,halafu baada ya kusave afanye nini, kwa ujumla hoja ni nzuri sana ila inahitaji mwendelezo ili kumuweka mtumiaji vizuri, mpaka Sasa watu wanasave zaidi ya 150k lakini mwisho wanaishia kulipa madeni, kusomesha watoto na kula hebu fafanua vizuri tuelewe.
 
Unadhani kuwa Watumishi hao wote hawapendi kuwa na financial freedom au sio?,kumbuka tunaishi katika ulimwengu wa resources change zinazopiganiwa na kila moja-at the end of the day hata wote mkijitahidi namna gani lazima wawepo watakaotolewa nje ya mfumo hiyo ni Principal
 
Jambo lingine,waliosema mshika 2 moja humponyoka na huwezi ukawa competent maeneo yote kama ukijikita kwenye ajira na biashara simultaneously kuna eneo moja huta perform vizuri either utashindwa kwenye supervision ikiwa ni kwenye biashara au utakuwa incompetent katika kazi hii yote inategemeana na mazingira.Ingawa kutokana na kanuni za kiuchumi wapo wachache katika wengi watafaulu
 
Guys, Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.

Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza n.k

Mfano unalipwa 700k baada ya makato yote how comes unashindwa kusave 150k Kila mwezi.

Kama tatizo hauna financial education jitahidi umtafute mentor mzuri akutoe huko katika uhaba na kuwa broke

Umasikini sio mzuri , hata Mungu hapendi sisi tuwe masikini.

Kuwa Mchumi sana and GOD will save you
Fafanua kidogo, mshahara kiasi gani? Upo serikalini unalipwa, milioni 7 take hm,utakuwa na stress! Mishahara ya stress ni ile ya, kima cha chini, 347000,upo BOT,TRA, Vodacom, mgodini, uwe na mawazo!wenye mawazo wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya mafuta nk
 
Tatizo vijana mnapenda maisha ya mwendo Kasi. Na unaweza kushangaa anayelalama kama huyu amesomeshwa na Mzazi Mkulima aliyeweza kudunduliza Kidogo Kidogo Hadi akafika hapo.

Sisemi mishahara inatosha, lakn you have a small to start planning. Kuna wenzako hata hiyo hawana pamoja na mavyeti Yao.
 
Back
Top Bottom