Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Hahahakukaaa kwa shemeji raha sana
Fafanua kidogo, mshahara kiasi gani? Upo serikalini unalipwa, milioni 7 take hm,utakuwa na stress! Mishahara ya stress ni ile ya, kima cha chini, 347000,upo BOT,TRA, Vodacom, mgodini, uwe na mawazo!wenye mawazo wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya mafuta nkGuys, Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana.
Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza n.k
Mfano unalipwa 700k baada ya makato yote how comes unashindwa kusave 150k Kila mwezi.
Kama tatizo hauna financial education jitahidi umtafute mentor mzuri akutoe huko katika uhaba na kuwa broke
Umasikini sio mzuri , hata Mungu hapendi sisi tuwe masikini.
Kuwa Mchumi sana and GOD will save you