Maisha ya kunguru

Maisha ya kunguru

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
257
Reaction score
78
Kuna msemo hapa dunia kuwa eti kunguru anaishi miaka mia tatu.

Je, ni kweli kunguru anaishi miaka mia tatu?
 
G O O G L E

IMG_20201212_174815.jpg
 
The circle of endless existence sawa sawa na binadamu tu maana roho haifi.
 
Kunguru muoga hukimbiza mbawa zake.......
Labda ndiyo sababu ya kuishi maisha marefu
 
Back
Top Bottom