Maisha ya Kwamtogole, vitenge vinauzwa kipande kimoja

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Huku kwetu sabuni ya kufulia unapimiwa kwenye kikombe cha chai kama huwezi kununua ndoo au box zima. Vile vitenge vitatu vinavyouzwa Karume na Mnazi Mmoja huku vinauzwa kipande kimoja. Ukiweza kununua vyote vitatu sawa, ukiweza viwili sawa ukishindwa kabisa unanunua kipande kimoja.

Kuku unanunua robo au nusu kutokana na pesa yako. Ukijiwa na wageni unanunua mchicha na robo kuku unapika na wali wa nazi, kuku ni wa mgeni huku jikoni mwenyewe unamalizia mchuzi kidogo wa kukombea sufuria na mchicha. Mgeni akiomba kuongezewa mboga anaharibu kabisa.

Tulichoshindwa na bado tunakifanyia utafiti ni jinsi ya kuuza tube ya dawa ya meno rejareja. Tukifanikiwa hili tutakua na PhD ya uchumi japo haitalingana na ya Dr Mwigulu Nchemba.
 
Tukichoshindwa na bado tunakifanyia utafiti ni jinsi ya kuuza tube ya dawa ya meno rejareja. Tukifanikiwa hili tutakua na PhD ya uchumi japo haitalingana na ya Dr Mwigulu Nchemba.
Maisha ya uswazi mabaya sana kwa afya ya watoto,
 
Mara ya kwanza kuona utumbo wa kuku unaliwa ni mbagala bhana aisee kwetu huwa yunatupa
Unaliwa na kwa wale wafugaji wakichinja kuku wa order, wale wachinjaji na wanyonyaji wanaondoka na utumbo, miguu na vichwa. Let say mmechinja kuku 50.
 
Huku kwetu sabuni ya kufulia unapimiwa kwenye kikombe cha chai kama huwezi kununua ndoo au box zima. Vile vitenge vitatu vinavyouzwa Karume na Mnazi Mmoja huku vinauzwa kipande kimoja. Ukiweza kununua vyote vitatu sawa, ukiweza viwili sawa ukishindwa kabisa unanunua kipande kimoja.

Kuku unanunua robo au nusu kutokana na pesa yako. Ukijiwa na wageni unanunua mchicha na robo kuku unapika na wali wa nazi, kuku ni wa mgeni huku jikoni mwenyewe unamalizia mchuzi kidogo wa kukombea sufuria na mchicha. Mgeni akiomba kuongezewa mboga anaharibu kabisa.

Tulichoshindwa na bado tunakifanyia utafiti ni jinsi ya kuuza tube ya dawa ya meno rejareja. Tukifanikiwa hili tutakua na PhD ya uchumi japo haitalingana na ya Dr Mwigulu Nchemba.
Nusu yake (yaani nusu ya kitenge) unaweza pata?
 
Ika watoto wa uswazi wana afya njema kwa muonekano kuliko vitoto vya ushuani.

sema wa ushuan wana mionekano miwili kuna wembamba ila wana afya wako sawa, na kuna zile bonge ziko kama na obesity
 
Back
Top Bottom