Maisha ya kweli ni kuwa na " peace of Mind"

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
Ukiwaweka wanasiasa hawa wawli , Tundu Lisu na Samia ukawaangalia vzr KWA jicho la kiroho au hata kawaida ,utagundua kitu ,
Samia anaishi na kulala nyumba nzuri na godoro la nchi 1000, anawalizi kila kona, anakula chakula cha kifalme, still hana amani kabisa,nuru haipo ,hata angepaka make up makopo 100, au angetabasamu mpaka jino la mwisho, BAdo utajua kuwa huyu" ni dead walker" maana hana peace of mind.

Leo nimemwona Tundu Lisu , akiwa na tabasamu kali sana sana, japo yupo mahabusu, zaidi ya mwaka, analala kwenye sakafu, gerezani lakin ana peace of mind. Wasiasa mjifunze vizuri kwenye hili, maisha sio fedha,au cheo, maisha halisi ni peace of mind, damu za watu hazita waacha salama.

Mungu mbariki Tundu Lissu aje kuwa Rais wa nchi hii nzuri ya Tanzania .by mwijilist wenu Gabeji.
 
Samia Suluhu Hassan anahitaji ukombozi wa nafsi, roho na mwili....

Samia Suluhu naye anamhitaji Yesu Kristo aliyemfia msalabani...

Tumwombee aipate hiyo neema ya wokovu katika Yesu Kristo. Huyu mama si yeye anayefanya maovu yote haya...

Huyu mama ni mateka halisi wa Ibilisi shetani. Anahitaji kuwekwa huru...

Hapo Ikulu amezungukwa na wachawi, waganga wadanganyifu, wasoma nyota, wasihiri, majini ya kila aina..

She's under the total influence of the spirit of death...

Aombewe huyu..

Akipona, na nchi na taifa limepona..
 
Kakwambia anahitaji ukombozi?
 
Kabisa mkuu, umesema vyema, hata mm naamini , atahitaji maombi makubwa sana, anahitaji mtu wa krb amwambie, lakin jana nimemwona anaanza kushutuka kwa mbali, akiwa na Tec ya kitima, KWA kweli Mungu ampe neema, laiti ningepata nafasi ya kuonana nae ,..........
 
Wenzako hawataki hiyo Peace of mind. Hivyo ambavyo vinawanyima hiyo Peace of mind ndivyo wanavyovitaka. Kama wangekuwa hawavitaki wangevikataa kwa vitendo.

Tuendelee na safari,tutafika tu!
 
Bas nyetanyau na the like wangekua na maisha magumu sana
Netanyahu lini umesikia amemiminia wananchi wake risasi? Akiachana na kuwalinda wananchi kwa gharama yoyote juu ya maharamia ambao ndoto zao at ni kuifuta Israel, sasa wewe unafumua vichwa vya wananchi kwa risasi , kisa kujiapisha kuwa rais
 
hisia zingine ni useless sana aise dah 🤣
 
Netanyahu lini umesikia amemiminia wananchi wake risasi? Akiachana na kuwalinda wananchi kwa gharama yoyote juu ya maharamia ambao ndoto zao at ni kuifuta Israel, sasa wewe unafumua vichwa vya wananchi kwa risasi , kisa kujiapisha kuwa rais
I miss the Austrian painter
 
Wenzako hawataki hiyo Peace of mind. Hivyo ambavyo vinawanyima hiyo Peace of mind ndivyo wanavyovitaka. Kama wangekuwa hawavitaki wangevikataa kwa vitendo.

Tuendelee na safari,tutafika tu!
Japo leo haujaisifia damu ya yesu ila umeongea ukweli halisi, angekuwa anahitaji hiyo mind peace angeitafuta na kuipata
 
Japo leo haujaisifia damu ya yesu ila umeongea ukweli halisi, angekuwa anahitaji hiyo mind peace angeitafuta na kuipata
Mkuu unadhani ni jambo rahisi kukaa kimya usiyashuhudie ulioyaona na kuyasikia live live?.

Kristo Yesu ndiye Bima ya Uzima wa Mwanadamu. Siyo Bima ya Afya,La!. Bima ya UZIMA wa sasa na ule utakaofunuliwa baadae!. Hata huu uhai nilio nao amenipa yeye kama bonus ili niifanye kazi yake hapa duniani, vinginevyo, nilitakiwa niwe nimekufa tangu Awamu ya Hayati Mwinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…