Maisha ya kweli ni kuwa na " peace of Mind"

Maisha ya kweli ni kuwa na " peace of Mind"

Ww mzee, wa ccm mwaka huu lazima akili zitarudi ,si umeona mama ako samia akili zimeanza kurudi
 
Ww mzee, wa ccm mwaka huu lazima akili zitarudi ,si umeona mama ako samia akili zimeanza kurudi
 
Mkuu unadhani ni jambo rahisi kukaa kimya usiyashuhudie ulioyaona na kuyasikia live live?.

Kristo Yesu ndiye Bima ya Uzima wa Mwanadamu. Siyo Bima ya Afya,La!. Bima ya UZIMA wa sasa na ule utakaofunuliwa baadae!. Hata huu uhai nilio nao amenipa yeye kama bonus ili niifanye kazi yake hapa duniani, vinginevyo, nilitakiwa niwe nimekufa tangu Awamu ya Hayati Mwinyi
Amina mkuu, anasema kaeni ndani yangu nami ndani yenu, mtaishi milele, i
 
Si
Japo leo haujaisifia damu ya yesu ila umeongea ukweli halisi, angekuwa anahitaji hiyo mind peace angeitafuta na kuipata
Sio kwamba hawataki ,wamefungwa, akili zao zimetiwa giza
 
Wenzako hawataki hiyo Peace of mind. Hivyo ambavyo vinawanyima hiyo Peace of mind ndivyo wanavyovitaka. Kama wangekuwa hawavitaki wangevikataa kwa vitendo.

Tuendelee na safari,tutafika tu!
Kuna mwigizaji mmoja ana msemo wake "I don't need piece, I need problems."

Uko sahihi, wako aina fulani ya binadamu, mateso ya wengine duniani ndiyo furaha yao.

Hata films wapendazo kuziangalia ni zile za kutisha, za majitu makali dragons, ukatili, mauaji, uonevu, ubakaji nk
 
Back
Top Bottom