Maisha ya kweli ni kuwa na " peace of Mind"

Ww mzee, wa ccm mwaka huu lazima akili zitarudi ,si umeona mama ako samia akili zimeanza kurudi
 
Ww mzee, wa ccm mwaka huu lazima akili zitarudi ,si umeona mama ako samia akili zimeanza kurudi
 
Amina mkuu, anasema kaeni ndani yangu nami ndani yenu, mtaishi milele, i
 
Si
Japo leo haujaisifia damu ya yesu ila umeongea ukweli halisi, angekuwa anahitaji hiyo mind peace angeitafuta na kuipata
Sio kwamba hawataki ,wamefungwa, akili zao zimetiwa giza
 
Wenzako hawataki hiyo Peace of mind. Hivyo ambavyo vinawanyima hiyo Peace of mind ndivyo wanavyovitaka. Kama wangekuwa hawavitaki wangevikataa kwa vitendo.

Tuendelee na safari,tutafika tu!
Kuna mwigizaji mmoja ana msemo wake "I don't need piece, I need problems."

Uko sahihi, wako aina fulani ya binadamu, mateso ya wengine duniani ndiyo furaha yao.

Hata films wapendazo kuziangalia ni zile za kutisha, za majitu makali dragons, ukatili, mauaji, uonevu, ubakaji nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…