Alichotaka ni irais na haulkuwa rahisi...Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita
Ameonewa sana na kaonea na kila mtu
Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka
lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
natamani tuwe na mtu wa kusema kama huyu katika maziko yakeCharacter assassination ni mchezo mchafu.
Jamaa aliwachana balaa, hapa tz lazima wakate umeme.natamani tuwe na mtu wa kusema kama huyu katika maziko yake
View: https://www.youtube.com/watch?v=ddZdiIYqOAg
Tunahitaji wapinzani wa hivi sio hawa akina Mbowe wanaoangalia biashara zaoJamaa aliwachana balaa, hapa tz lazima wakate umeme.
Kila mtu ana namna yake usitake mtu awe mwingine? Kwanini wewe usiwe kamahuyo unayempenda?Tunahitaji wapinzani wa hivi sio hawa akina Mbowe wanaoangalia biashara zao
Ni kweli na pia sioni tofauti yake na hawa wa hapa kwetuKila mtu ana namna yake usitake mtu awe mwingine? Kwanini wewe usiwe kamahuyo unayempenda?
Tuheshimu watu tuache ushamba kushabikia watu wa nje hata wakiwa WAHUNI! Huyu mapema ni tajiri mhuni kwenye siasa zisizo na adabu