Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

Darasa la saba kwa kuwa ni mbunge anapata mshahara mkubwa kuliko daktari aliyebobea katika fani fulani. Ni aibu!!!!!
 
Pamoja maelezo yako yalijaa kutaka huruma ila bado nasisitiza kwamba madaktari wanapenda starehe na mambo yaliyo nje ya kipato chao. Naishi nao na nafanya nao kazi nawajua wengi.
 
Kuna mtu ambae hapendi Starehe Mkuu!?
 
Pamoja maelezo yako yalijaa kutaka huruma ila bado nasisitiza kwamba madaktari wanapenda starehe na mambo yaliyo nje ya kipato chao. Naishi nao na nafanya nao kazi nawajua wengi.
Hongera kwa kuishi na madaktari ambao wanajua ni mshikaji kumbe unawachora tu
 
Pamoja maelezo yako yalijaa kutaka huruma ila bado nasisitiza kwamba madaktari wanapenda starehe na mambo yaliyo nje ya kipato chao. Naishi nao na nafanya nao kazi nawajua wengi.
Na ukute kwenye hizo starehe wewe ni mshika mkia wao
 
Mimi nilisomea hiyo fani nikafanya kazi kidogo nikaona jau, nilipata zari flani nimeingia kwengine kunalipa zaidi ya kuwa daktari na nina heshimika
 
Kumbe daktar namzid had mm dereva wa truck mpaka mwez kuisha nishalamba m3 ila mshahara laki mbili
 
Lengo lako ni zuri lakini pesa ulizoandika hapo juu kama take home, hazina uhalisia, ni ndogo kuliko ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…