maslulkat
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 135
- 108
Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana.
Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu yake kwa moyo kuhakikisha wagonjwa wanapona, ndugu wa wagonjwa wanapona pia kisaikolojia lakini huku daktari huyo akiteketeza maisha yake ya kijamii kwa ndugu na familia yake.
DAKTARI ANAPATIKANAJE HAPA TANZANIA.
Kikawaida madaktari wengi huwa ni wale watoto wa kimaskini ambao wamesoma na kusomeshwa kwa shida na uchungu mkubwa sana familia zao na asilimia zaidi 80% wanatoka katika familia za kimaskini, na asilimia chache au ndogo kama 20% ni wale wanaotoka katika familia bora.
Miaka 7 ya shule ya msingi, miaka 4 ya Ordinary level (O-LEVEL), Miaka 2 ya advanced level (3 ya clinical medicine) na miaka 6 ya degree (5 chuo na 1 internship) jumla ya miaka 19 jumla ya kupata degree ya kwanza na kuanza kupractice udaktari kama Medical officier II (Registrar), ambaye kikawaida hadi baada ya makato daktari huyu anabaki na kiasi cha shilingi 840,000/=, kiasi hiki cha pesa anatakiwa kimsaidie katika maisha yake yote kula, kuishi (Makazi), Kuvaa, familia yake kuishi vizuri, familia iliyomlea kuishi vizuri na hata aweze kufanya mambo mengine ya kijamii, hapa ndipo ugundua madaktari wengi kuwa katika maisha yenye stress kubwa ilihari kutimiza majukumu yao kwa moyo mmoja. LAKINI WAPO PIA AMBAO UAMUA KUCHUKUA MIKOPO BANK NA KUJIKUTA PIA ANGALAU AKIHITAJI KUFANYA JAMBO FULANI NA KWASABABU YA MUDA NA USIMAMIZI MZURI ANAFELI SO ANABAKI KUPOKEA HATA SHILINGI 300,000/= AU 400,000/= NI MBAYA SANA HII.
NDIO MAANA WAKATI MWINGINE MADAKTARI KWA SASA WANACHUKUA WASAHAA WA KUWASHAURI VIJANA WENGINE WALIOPO NYUMA KUTOKUJA KUSOMA KADA HII YA AFYA YENYE SIFA YA JINA LAKINI MAISHA NI MABAYA NA MAGUMU SANA.
MADAKTARI WENGI SAIV WANAISHIA KUINGIA KWENYE BETTING PIA WAKIAMINI WANAWEZA KUJIPATIA CHOCHOTE KITU NA KUEPUKANA NA FEDHEA YA UMASKINI
SERIKALI NA JAMII KWA UJUMLA PIGANIENI HAYA KWA MADAKTARI WENU
1. ONGEZENI KIPATO CHA MISHAHARA KWA MADAKTARI MFANO NCHI JIRANI KAMA KENYA NA UGANDA MADAKTARI WANALIPWA VIZURI SANA, WANAANZIA MILIONI 4 MPAKA MILIONI 14 KWA DAKTARI BINGWA BOBEZI KUTEGEMEANA NA AMESOMA UBOBEZI UPI, KWANI TANZANIA MNASHINDWA NINI
2. JAMII IPAZE SAUTI MAANA HATA MAT ILIYOPO HAIFANYI MAJUKUMU YAKE YA KUPIGANIA MASLAHI YA WATU WAKE.
3. KUWE NA WIZARA MOJA TU INAYOHUSIKA NA MASLAHI YA MADAKTARI, KUSIWE NA MARA SIJUI TAMISEMI MARA SIJUI WIZARA YA AFYA, KWAMBA KUNDI MOJA LINAPATA MASLAHI MAZURI KULIKO KUNDI JINGINE.
4. KUWE NA MIHULI YA MADAKTARI KAMA JINSI ILIVYO KWA WANASHERIA TUTAMBULIKE HIVYO NA KWA NAMBA ZETU ZA MCT PALE, KWAKUWA ITASAIDIA ANGALAU KUONGEZA KIPATO PALE AMBAPO MUHULI WA DAKTARI MAALUM UTAKAPOHITAJIKA.
5. SERIKALI IANGALIE HATA KUMPATIA DAKTARI MMOJA MMOJA USAFIRI WA KAWAIDA WA KUANZIA AU KUMSAIDIA KUPATA MKOPO NAFUU WA GARI HUKU SERIKALI IKIONGEZA KIASI KADHAA CHA PESA NA DAKTARI KULIPIA TARATIBU KUPUNGUZA AIBU NDOGO NDOGO ZA KUGOMBANIA DALADALA, KUPANDA BODABODA ZENYE HATARI KUBWA YA KUPATA AJALI, NA HATA KUTEMBEA UMBALI MREFU KWENDA NYUMBANI NA KUNYOOSHEWA VIDOLE YULE NI DAKTARI YULE NI DAKTARI AMBAPO INAMUATHIRI KISAIKOLOJIA.
NATAMBUA MADAKTARI NI WENGI SANA WENYE KUHITAJI JAMBO HILI LIPAZIWE SAUTI BASI NA SISI TUFANYE HIVYO NA ANDIKA MATAMANIO YAKO NINI MADAKTARI WAFANYIWE

Daktari huyu kwa upendo wa kuwasaidia watanzania uamua kusoma zaidi na kuwa Daktari bingwa mpaka daktari bingwa bobezi maana yake miaka mingine 6 juu uongezeka plus ile miaka 19 aliyotumia katika kupata degree ya kwanza inakua jumla miaka 25, kwahiyo ili umpate daktari bingwa bobezi labda wa Mfumo wa chakula na ini, mfumo wa fahamu, magonjwa ya moyo, upasuaji sanifu, mifupa, ngozi unahitaji miaka 25 mpaka 28 kwa vyuo vingine ambavyo masters ni miaka minne minne.
maana yake almost ujana wake wote wa maisha yake uhutumia katika kudhalisha madaktari bingwa bobezi ambao huwa na maisha ya kawaida sana kuliko mtu ambaye angeamua kufanya biashara zake nyingine kama watu wa KATORO.
Serikali kupitia RAIS aliyepo madarakani sasa alisikika Dodoma akisema anatambua Madaktari maisha yao yalivyomagumu kwakuwa maslahi yapo chini sana lakini hatambui katika kufanya maslahi ya madaktari yawe juu, yeye pamoja na waziri wa afya wa sasa wanayatambua haya.
lakini kuna wanasiasa ambao wamekaa wanatunga sheria hizi za kuwabana hata madaktari wanalipwa vizuri sana zaidi ya milioni 10 kwa mwezi, lakini si daktari ambaye atakomea 840,000/=, 1,500,000/= na 2,500,000/= kwa registrar, daktari bingwa na bingwa bobezi.
Daktari amekuwa mtu ambaye atashinda hospitalini kuokoa maisha ya mgonjwa, kuwatibu ndugu zake kisaikolojia na bad enough hadi ndugu wanatambua hali za madaktari wao kwa umaskini inabaki tu sifa ya kusema yule ni daktari yule ni daktari.
Ndio maana tumeanza kupoteza jamii ya madaktari vijana unasikia tu kafariki kwa HEART ATTACK, kumbe kisa stress nyingi.... Mfano juzi juzi tumepoteza daktari bingwa bobezi wa figo ambaye amefariki akiwa na miaka 35 tu na huyu daktari ametumia miaka 28 kujitengeneza kufika hapo, Taifa likapoteza mtu wa muhimu sana ukiangalia miaka 35 yake ukitoa miaka 28 unapata miaka 7 tu ya yeye ambayo aliishi bila kufanya jambo lolote maana yake alifaidi utoto wake tu wa miaka 7.
Ndio maana madaktari wengi hawahusishi LESENI zao kwakuwa hela yenyewe ya kuhusisha leseni angalau hata ingekua taasis au mahospital inawakatia leseni watu wake lakini hela ipo juu na ndio maana madaktari wengi they are not allowed to practice lakini wanafanya kazi.
Madaktari wamekuwa watu ambao hata akipata 10,000/= kutoka kwa mgonjwa atafurahi ilimradi apate hela ya kula, daktari huyo anayeshinda hospital muda wote anakosa muda wa kufanya hata angalau sehemu ya pili ya kujidharishia kipato na asipoonekana anaambiwa mzembe na hafanyi majukumu yake mnataka ale wapi????