Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

Mheshimiwa Dakitare ni kweli Mishahara ya Watumishi wote ni changamoto sio Madakitare peke yao tu, na kitu ambacho unajua kabisa kwneye Kada ya Afya ni Nyie ndio Mna mishahara mikubwa sana pengine kuliko kada yoyote ile iwe Tamisemi au serikali Kuu kwa kuanzia na ndio nyie pekee ukiachana Academicians mna scale za Masters (MMED) na super Soecialist (Msc) hakuna kada nyingine iwe Nursing, Lab, Pharm wala Wengine hawa Mwisho ni Degree tu

Kiufupi Utumishi wa UMMA ni kujisajili kwenye ubangaizaji SMART sio kwenu pekee ni kila kada!! Tena hata Bora nyie hasa waliopo RRH, Zonal, na National mna On call, Extra duty, BIMA kuna Mwalimu maskini wa Mungu yeye anajua Salary Pekee
 
Madaktari wanalipwa hela nzuri tu. Na siku hizi wengi wao wamejiongeza ujasiriamali wanaenda vyema. Waajiriwa wengi wanapata fedha zisizotosheleza. Ni waajiriwa wa taasisi chache sana nchini ambao wana vipato vikubwa kuliko hata wafanyabiashara. Ila wengi take home haizidi 1.5m
Hela nzuri kwako ni shilingi ngapi ukilinganisha na kazi wanazofanya na muda wanaojitoa kuokoa maisha ya watanzania wenzako, muda na gharama walizotumia kuwa DAKTARI, katika familia yako au yenu mna Daktari au jirani? ushawai kupiga naye story, hospital unajua zilipo basi tembelea pale na kapige story na madaktari
 
Mheshimiwa Dakitare ni kweli Mishahara ya Watumishi wote ni changamoto sio Madakitare peke yao tu, na kitu ambacho unajua kabisa kwneye Kada ya Afya ni Nyie ndio Mna mishahara mikubwa sana pengine kuliko kada yoyote ile iwe Tamisemi au serikali Kuu kwa kuanzia na ndio nyie pekee ukiachana Academicians mna scale za Masters (MMED) na super Soecialist (Msc) hakuna kada nyingine iwe Nursing, Lab, Pharm wala Wengine hawa Mwisho ni Degree tu

Kiufupi Utumishi wa UMMA ni kujisajili kwenye ubangaizaji SMART sio kwenu pekee ni kila kada!! Tena hata Bora nyie hasa waliopo RRH, Zonal, na National mna On call, Extra duty, BIMA kuna Mwalimu maskini wa Mungu yeye anajua Salary Pekee
Super specialist ni level ya kielimu isiyotambulika katika salary scale hapa Tanzania, lakini pia utumishi wa umma haimaanishi ni kuwafanya watu wateseke na kuwa na maisha magumu ili hari serikali inafaidi, ndio maana katka kitu pekee ambacho ninaomba issue za afya ziwe katika wizara moja tu, mambo sijui wengine ni watumishi wa tamisemi wengine wizara ya afya haina maana, taratibu jamii ya watumishi wa afya Tanzania utendaji kazi utabadilika na wachache sana watakaobaki nao watakata tamaa
 
Hao unaowapigania ndiyo class inayoongoza kwa kulipwa pesa nyingi katika nchi hii.

Hizo kada ni kweli ni za watoto wa kimaskini ili awe na uhakika wa ajira,inaanzia na uhakika wa kupata mkopo chuoni halafu ajira.

Jambo la unyeti wa kazi, kazi zote ni nyeti na zina umuhimu kama madaktari tu.

Kwa wengine wanapokea laki 6 baada ya makato, maisha ya utumishi nchini kwetu bado ni changamoto sana. Serikali inabidi iruhusu watu wafanye kazi kwa masaa angalau wajitafutie kipato cha ziada.

Dr afanye zake masaa 8, aende hospital nyingine hata masaa 4 au atavyoona inafaa.

Mwalimu afundishe masaa 6, atafute shule jirani akafundishe masaa ma4.
Upo sahihi kabisa
 
Daktari Bingwa analipwa 2.5M? Haiwezekani 🤔. Yote kwa yote kwa maisha ya Tz mtumishi wa kada ya kawaida ama mnaita kima cha chini anatakiwa kupata take home si chini ya 1.5M, kima cha kati angalau 3M., with these values mtu anaweza kuishi maisha na akafrahia muda na nguvu alotumia Darasani, otherwise washushe kodi na kucontrol bei za mahitaji muhimu ya kibinadamu. Nchi nyingine wanacalculate hizo scales kuendana na hali za maisha na uchumi wa nchi kwa ujumla. Na kuna nchi nimeona kila mwaka scales za malipo zinabadilika kwa nyongeza ya % flani. Tz mtu analipwa mshahara wa ule ule kwa miaka mi3-4 adi apande daraja/ cheo. Sasa kweli standard ya maisha ya mwaka huu ni sawa na mwaka juzi, jana na kesho? Unakuta watumishi wamechoka kuliko kipindi wanasoma, unabaki unajiuliza huyu mtu anafanya kazi na kulipwa mshahara kweli?
Ndio analipwa hvy fatilia, na changamoto zaidi wanasiasa hapa nchini wanapewa na wanajipa kipaumbele zaidi kuliko watu wenye taaluma zao
 
Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana.

Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu yake kwa moyo kuhakikisha wagonjwa wanapona, ndugu wa wagonjwa wanapona pia kisaikolojia lakini huku daktari huyo akiteketeza maisha yake ya kijamii kwa ndugu na familia yake.

DAKTARI ANAPATIKANAJE HAPA TANZANIA.

Kikawaida madaktari wengi huwa ni wale watoto wa kimaskini ambao wamesoma na kusomeshwa kwa shida na uchungu mkubwa sana familia zao na asilimia zaidi 80% wanatoka katika familia za kimaskini, na asilimia chache au ndogo kama 20% ni wale wanaotoka katika familia bora.

Miaka 7 ya shule ya msingi, miaka 4 ya Ordinary level (O-LEVEL), Miaka 2 ya advanced level (3 ya clinical medicine) na miaka 6 ya degree (5 chuo na 1 internship) jumla ya miaka 19 jumla ya kupata degree ya kwanza na kuanza kupractice udaktari kama Medical officier II (Registrar), ambaye kikawaida hadi baada ya makato daktari huyu anabaki na kiasi cha shilingi 840,000/=, kiasi hiki cha pesa anatakiwa kimsaidie katika maisha yake yote kula, kuishi (Makazi), Kuvaa, familia yake kuishi vizuri, familia iliyomlea kuishi vizuri na hata aweze kufanya mambo mengine ya kijamii, hapa ndipo ugundua madaktari wengi kuwa katika maisha yenye stress kubwa ilihari kutimiza majukumu yao kwa moyo mmoja. LAKINI WAPO PIA AMBAO UAMUA KUCHUKUA MIKOPO BANK NA KUJIKUTA PIA ANGALAU AKIHITAJI KUFANYA JAMBO FULANI NA KWASABABU YA MUDA NA USIMAMIZI MZURI ANAFELI SO ANABAKI KUPOKEA HATA SHILINGI 300,000/= AU 400,000/= NI MBAYA SANA HII.

Daktari huyu kwa upendo wa kuwasaidia watanzania uamua kusoma zaidi na kuwa Daktari bingwa mpaka daktari bingwa bobezi maana yake miaka mingine 6 juu uongezeka plus ile miaka 19 aliyotumia katika kupata degree ya kwanza inakua jumla miaka 25, kwahiyo ili umpate daktari bingwa bobezi labda wa Mfumo wa chakula na ini, mfumo wa fahamu, magonjwa ya moyo, upasuaji sanifu, mifupa, ngozi unahitaji miaka 25 mpaka 28 kwa vyuo vingine ambavyo masters ni miaka minne minne.

maana yake almost ujana wake wote wa maisha yake uhutumia katika kudhalisha madaktari bingwa bobezi ambao huwa na maisha ya kawaida sana kuliko mtu ambaye angeamua kufanya biashara zake nyingine kama watu wa KATORO.

Serikali kupitia RAIS aliyepo madarakani
sasa alisikika Dodoma akisema anatambua Madaktari maisha yao yalivyomagumu kwakuwa maslahi yapo chini sana lakini hatambui katika kufanya maslahi ya madaktari yawe juu, yeye pamoja na waziri wa afya wa sasa wanayatambua haya.

lakini kuna wanasiasa ambao wamekaa wanatunga sheria hizi za kuwabana hata madaktari wanalipwa vizuri sana zaidi ya milioni 10 kwa mwezi, lakini si daktari ambaye atakomea 840,000/=, 1,500,000/= na 2,500,000/= kwa registrar, daktari bingwa na bingwa bobezi.

Daktari amekuwa mtu ambaye atashinda hospitalini kuokoa maisha ya mgonjwa, kuwatibu ndugu zake kisaikolojia na bad enough hadi ndugu wanatambua hali za madaktari wao kwa umaskini inabaki tu sifa ya kusema yule ni daktari yule ni daktari.

Ndio maana tumeanza kupoteza jamii ya madaktari vijana unasikia tu kafariki kwa HEART ATTACK, kumbe kisa stress nyingi.... Mfano juzi juzi tumepoteza daktari bingwa bobezi wa figo ambaye amefariki akiwa na miaka 35 tu na huyu daktari ametumia miaka 28 kujitengeneza kufika hapo, Taifa likapoteza mtu wa muhimu sana ukiangalia miaka 35 yake ukitoa miaka 28 unapata miaka 7 tu ya yeye ambayo aliishi bila kufanya jambo lolote maana yake alifaidi utoto wake tu wa miaka 7.

Ndio maana madaktari wengi hawahusishi LESENI zao kwakuwa hela yenyewe ya kuhusisha leseni angalau hata ingekua taasis au mahospital inawakatia leseni watu wake lakini hela ipo juu na ndio maana madaktari wengi they are not allowed to practice lakini wanafanya kazi.

Madaktari wamekuwa watu ambao hata akipata 10,000/= kutoka kwa mgonjwa atafurahi ilimradi apate hela ya kula, daktari huyo anayeshinda hospital muda wote anakosa muda wa kufanya hata angalau sehemu ya pili ya kujidharishia kipato na asipoonekana anaambiwa mzembe na hafanyi majukumu yake mnataka ale wapi????​

NDIO MAANA WAKATI MWINGINE MADAKTARI KWA SASA WANACHUKUA WASAHAA WA KUWASHAURI VIJANA WENGINE WALIOPO NYUMA KUTOKUJA KUSOMA KADA HII YA AFYA YENYE SIFA YA JINA LAKINI MAISHA NI MABAYA NA MAGUMU SANA.

MADAKTARI
WENGI SAIV WANAISHIA KUINGIA KWENYE BETTING PIA WAKIAMINI WANAWEZA KUJIPATIA CHOCHOTE KITU NA KUEPUKANA NA FEDHEA YA UMASKINI

SERIKALI NA JAMII KWA UJUMLA PIGANIENI HAYA KWA MADAKTARI WENU

1. ONGEZENI KIPATO CHA MISHAHARA KWA MADAKTARI MFANO NCHI JIRANI KAMA KENYA NA UGANDA MADAKTARI WANALIPWA VIZURI SANA, WANAANZIA MILIONI 4 MPAKA MILIONI 14 KWA DAKTARI BINGWA BOBEZI KUTEGEMEANA NA AMESOMA UBOBEZI UPI, KWANI TANZANIA MNASHINDWA NINI

2. JAMII IPAZE SAUTI MAANA HATA MAT ILIYOPO HAIFANYI MAJUKUMU YAKE YA KUPIGANIA MASLAHI YA WATU WAKE.

3. KUWE NA WIZARA MOJA TU INAYOHUSIKA NA MASLAHI YA MADAKTARI, KUSIWE NA MARA SIJUI TAMISEMI MARA SIJUI WIZARA YA AFYA, KWAMBA KUNDI MOJA LINAPATA MASLAHI MAZURI KULIKO KUNDI JINGINE.

4. KUWE NA MIHULI YA MADAKTARI KAMA JINSI ILIVYO KWA WANASHERIA TUTAMBULIKE HIVYO NA KWA NAMBA ZETU ZA MCT PALE, KWAKUWA ITASAIDIA ANGALAU KUONGEZA KIPATO PALE AMBAPO MUHULI WA DAKTARI MAALUM UTAKAPOHITAJIKA.

5. SERIKALI IANGALIE HATA KUMPATIA DAKTARI MMOJA MMOJA USAFIRI WA KAWAIDA WA KUANZIA AU KUMSAIDIA KUPATA MKOPO NAFUU WA GARI HUKU SERIKALI IKIONGEZA KIASI KADHAA CHA PESA NA DAKTARI KULIPIA TARATIBU KUPUNGUZA AIBU NDOGO NDOGO ZA KUGOMBANIA DALADALA, KUPANDA BODABODA ZENYE HATARI KUBWA YA KUPATA AJALI, NA HATA KUTEMBEA UMBALI MREFU KWENDA NYUMBANI NA KUNYOOSHEWA VIDOLE YULE NI DAKTARI YULE NI DAKTARI AMBAPO INAMUATHIRI KISAIKOLOJIA.

NATAMBUA MADAKTARI NI WENGI SANA WENYE KUHITAJI JAMBO HILI LIPAZIWE SAUTI BASI NA SISI TUFANYE HIVYO NA ANDIKA MATAMANIO YAKO NINI MADAKTARI WAFANYIWE​
Naongezea na walimu. Maslahi yaongezwe...
 
Umesema vyema. Nadhani kwasasa jukwaa zuri ambalo lingetufaa kupambania maslahi yetu ni MAT. Changamoto ya MAT sasa hivi imekuwa yakisiasa sana.
 
naunga mkono hoja .umeongea UKWELI MTUPU

Yule RAISI WA MADOKTA ,wa kuitwa DOKFA ULIMBOKA alikuwa anapigania madaktari walipwe kima cha chini milioni tatu .sijui alliishia wapi.
 
Attachments

  • Screenshot_20260718-123717.jpg
    Screenshot_20260718-123717.jpg
    99.2 KB · Views: 15
Wahudumu wa afya hii nchi wanalipwa hela ndogo sana,haiendani na thamani ya kazi yao, na hawajaliwi. Imagine kuna daktari bingwa wa Sekou Toure alipata ajali akiwa kazini akakosa pesa ya matibabu ikabidi achangiwe, yaani daktari anakosa pesa ya matibabu? Aibu utaona wewe.
 
Madaktari wanalipwa hela nzuri tu. Na siku hizi wengi wao wamejiongeza ujasiriamali wanaenda vyema. Waajiriwa wengi wanapata fedha zisizotosheleza. Ni waajiriwa wa taasisi chache sana nchini ambao wana vipato vikubwa kuliko hata wafanyabiashara. Ila wengi take home haizidi 1.5m
Madaktari wanalipwa hela nzuri wa hospital gani mkuu? Au unamaanisha Aga Khan na Saifei?
 
Hao unaowapigania ndiyo class inayoongoza kwa kulipwa pesa nyingi katika nchi hii.

Hizo kada ni kweli ni za watoto wa kimaskini ili awe na uhakika wa ajira,inaanzia na uhakika wa kupata mkopo chuoni halafu ajira.

Jambo la unyeti wa kazi, kazi zote ni nyeti na zina umuhimu kama madaktari tu.

Kwa wengine wanapokea laki 6 baada ya makato, maisha ya utumishi nchini kwetu bado ni changamoto sana. Serikali inabidi iruhusu watu wafanye kazi kwa masaa angalau wajitafutie kipato cha ziada.

Dr afanye zake masaa 8, aende hospital nyingine hata masaa 4 au atavyoona inafaa.

Mwalimu afundishe masaa 6, atafute shule jirani akafundishe masaa ma4.
Hayo mambo ya daktari kufanya kazi huku anawaza baada ya muda mfupi aende kutafuta pesa za ziada ndo yanafanya ikija issue ya ugonjwa complicated ambao inahitaji daktari akusikilize kwa utulivu anakuwa anarush awahi kupata pesa ya ziada, matokeo yake mtu akiumwa ugonjwa tofauti na yale common anazunguka hospital mpaka anachoka hapati matibabu maana madaktari hawawazi kutibu wagonjwa wanawaza wawahi kwenda kutafuta pesa.
Wahudumu wa afya wanapaswa kulipwa vizuri na kujaliwa ili wafanye kazi bila stress ya aina yoyote. Nchi nyingine madaktari wanalipwa pesa nyingi kuliko wanasiasa.
 
Hii kada sitaruhusu mwanangu haingie hii kada, ina stress shuleni hadi kazini, familia yetu imetoa 2 doctors, nimeshuhudia stress zao wakiwa medical school pale MUHAS hadi leo wapo kazin ila hawana furaha na hii kazi, kuna moja kaenda kusoma bachelor nyingine ya BAF nahic akipata kazi yake ataachana na medical field.
 
Super specialist ni level ya kielimu isiyotambulika katika salary scale hapa Tanzania, lakini pia utumishi wa umma haimaanishi ni kuwafanya watu wateseke na kuwa na maisha magumu ili hari serikali inafaidi, ndio maana katka kitu pekee ambacho ninaomba issue za afya ziwe katika wizara moja tu, mambo sijui wengine ni watumishi wa tamisemi wengine wizara ya afya haina maana, taratibu jamii ya watumishi wa afya Tanzania utendaji kazi utabadilika na wachache sana watakaobaki nao watakata tamaa
Wizara ya TAMISEMI inaingilia wizara mama nadhani hii ipo Tz tu(uvuvi,barabara,afya,elimu).Hii nchi sijui walilenga nini na ukiangalia huko TAMISEMI ndio kumejaa uozo🤔.
 
Back
Top Bottom