monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali
Mwanamke wa kwanza;
Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari kuishi naye hata kwa ndoa ya serikalini ni single mother wa mtoto 1, ni mchaga, mkritu, anakunywa pombe, anakula kitimoto, anajua sana kutafuta pesa na anajiweza kiasi kiuchumi ila ni jeuri. Alinipenda sana na alikua ananipa sana vizawadi, mimi ni muislam na sinywi pombe tuliachana baada ya kuona hawezi kua mke bora maana alikia jeuri mno na alikua haipendi hata kidogo dini ya kiislam na alikua hawezi kuzuia hisia zake zidi ya uislam
Mwanamke wa pili;
Huyu nilikutana nae mwanzoni mwa 2024 ni muislam, mmakonde, bado alikua hajamaliza ujana (umri miaka 24), si mkweli mala aniambie anaishi kwa kaka yake mala dada yake, anaomba sana pesa hadi kero, alikua ananilazimisha sana nimuoe, jeuri akiamua siku nzima ananizimia simu na anaweza akasafiri bila kuniaga naye nikapiga chini
Mwanamke wa tatu;
Huyu dada anaishi mtaa wa pili baada ya mtaa ninaoishi ni muislam, huyu dada ajuagi utani wa mapenzi anakuzingu muda huohuo, anatabia ya kupayuka kwa sauti kubwa mkikwaruzana, anapenda sana kununa bila sababu za msingi, pia nazani anashida kwenye hisia alishawahi ingia geto kwangu mara 4 sijaambulia chochote ukimuandaa yeye anapiga story tu na ukiingiza dushe ni ugomvi hapo na wala si bikra naye tabia zikanishinda nikapiga chini
Mwanamke wa nne;
Huyu mdada alikua anashepu namba 8 ni mkristo miaka 22, si mkweli alikua beki 3 aliniongopea anaishi kwa dada yake, papuchi yake ilikua inanjia kubwa sana kama mdomo wa mamba ukimuweka dog style aisee ni mishuzi tu hadi kero, alikua hapendi kunyoa nywele za papuchi sijui alikua anashida gani huyu mdada anaacha msitu na hili joto la Dar ukimlazimisha ananuna na papuchi hatoi nilikua nazagamua hivyohivyo na ma nywele yake naye nikapiga chini
ANGALIZO; usioe au usiolewe kwa kukurupuka hakikisha mnatengeneza partinership mchunguzane mkishaliziana ndio uoe au uolewe binaadam tunatabia ya kuficha mapungufu usiombe hayo mapungufu ukutane nayo kwenye ndoa utasaga meno.
Imani yangu mwaka huu 2025 mungu atanibariki mke bora, mcha mungu, mkweli na mnyenyekevu insha'Allah