Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Mdomo Wa Mamba sio mchezo…unaweza kula kWa Mbele, au kWa upande upande pia..😎😎😎Unaufahamu mdomo wa mamba wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdomo Wa Mamba sio mchezo…unaweza kula kWa Mbele, au kWa upande upande pia..😎😎😎Unaufahamu mdomo wa mamba wewe?
Huyo na mzee wake baada ya miaka mitano hakuna muoaji watakubali maharj ya 1.5M.Binafsi katika mwaka niliatttempt kuoa kabisa ila wanawake ambao nilikutana nao naona kabisa nataka kuoa after 5 years later. Nikiwa na 30 mana now Nina 25 kamili.
Mahusiano ya kwanza 01
Huyu dada alikuwa ni chubby ni bonge alikuwa ananipenda sana, na Mimi nilikuwa nampenda sana Tena sana. Mpaka tukawa tunaishi kama mume na mke, nilimtambulisho home kuwa mwezi wa saba namuoa nakumbuka ilikuwa January.
Baada ya kupeleka kwao taarifa kuwa nataka kukuona mama yake alikataa akasema malizeni kwanza chuo, tulikuwa second year that time. Basi akaniambia Fanya unipe mimba ili tuoane kwa urahis, mazeee nikaanza kupika mashine mpaka misuli ya paja ikawq inauma, pia kick mpka nikawa sitoi kabisa sperm nahisi ziliisha mana Kila siku lazima bao 4
Baada ya muda Kila siku Nakuta namba mpya kwenye simu yake, nikiuliza huyuu nani anasema x duuh naflash after times Tena Nakuta sms namuuliza huyu nani? Anasema x naflash mpaka wiki moja imebaki aende kwao field naona anachart na mwalimu wake wa o level kwanza demu ana miaka 23 ila teacher ana miaka 45 ana watoto 5 na mke aisee nililia sana kumbe teacher ameshamla sana manzi daah. Nikamfua makofi kum*ke akaanza kuniambia ndio maana sikutaka kuzaa na wewe kumbe wakati namgonga daily yeye alikuwa anatumia p2 hasa zile siku za hatari moyoni hataki mtoto ila machoni anataka daah niliumia sana NIKAPIGA CHINI.
mwanamke wa pili
Huyu nimeachana nae Official 15/10/2024
Picha linaanza huyu demu alikuwa chuo mwaka wa tatu, aisee nimemkuta bikra kabisa, demu yupo Chuo ila usiku akiwa kwao hakuna kuongea na simu, muuni nikapenda demu akanipa tunda nikatoboa aisee bikra watamu ule utamu aisee sio poa
K inalia taaa taaa taaa aaah kumanina.
Demu alikuwa ananipenda sana alikuwa ananisupport financially mpaka sometimes nalia aisee mana kwenye difficult moment yeye ndio alikuwa supporter mkubwa
Ila demu alikuwa na
1.kiburi
2.jeuri
3.majivuno
4.ujuaji
5.ubishi
6.masimango hasa alikuwa ananita masikini kabisa
Nilikuwa naumia ila nilikuwa nampenda sana upendo ulizidi nikiamini atachange.
Baba yake na mwanajeshi ana nyota tatu na mama yake ni polisi ana nyota tatu pia nadhani jeuri ndio ilianzia hapo.
Demu alikuwa ananipenda sana mana amewai kupigwq kisa Mimi sio mara moja aisee mpaka nikaamua kupeleka barua. Ili nimuoe nikapeleka barua.
Ikajibiwa na baba yake mahali ni 4m hakuna deni wala kutoa nusu.
Mimi wakati huo kazi yangu bajaj Tena nipo kwenye mkataba pia Bado nipo chuo mwaka wa pili.
Nikamwabia aisee wewe mkomalie mzee apunguze nitoe hata 1.5m mengine ntatoa baadae demu kakomaaa sana omba lakini mahali hataki kushuka.
Nikamuuliza kwanini Sasa mahali 4m akatoa sababu
1.nimemkuta bikra
2.ana degree
3.mzuri
4.ana uhakika wa ajira ya jeshi hivyo Mimi ntakuwa nimeoa mwanamke mwenye kazi yake.
5.mtaa mzima wanajuq ana tabia nzuri.
Nikaanza kumwambia madhaifu yake
Kwanza marafiki zake walikuwa matom boy wote na alikuwa hapendi Sana kugongwa ila wanaopendelea kushikwa kisimi nikajua alikuwa msagaji huyu mbwa.
Nikijaribu kumuelekeza anazingua akasema tuachane ila nataka unilipe msaada wote nikiokusaidia
Nikamwabia ulikuwa unanisaidia huku unahesabu?? Akasema ndio nilipe pesa zangu 1.5m tuachane aisee Bado jeuri IPO pale pale NIKAPIGA CHINI
Hapa nipo single natamani nikimaliza chuo niende zangu Canada nipate mama la kizungu niwe raia mademu wa kibongo jau
Mtu unania ya kuoa kabisa ila wanaleta manjegeka
Kweli mkuuMwanamke hatafutwi, we focus na mambo yako utakutana nae kwenye mishe zako
Wanawake saivi wanatafuta ndoa mzee
Nimekusoma kwa makini,maoni yangu kwako ni haya:Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali
Mwanamke wa kwanza;
Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari kuishi naye hata kwa ndoa ya serikalini ni single mother wa mtoto 1, ni mchaga, mkritu, anakunywa pombe, anakula kitimoto, anajua sana kutafuta pesa na anajiweza kiasi kiuchumi ila ni jeuri. Alinipenda sana na alikua ananipa sana vizawadi, mimi ni muislam na sinywi pombe tuliachana baada ya kuona hawezi kua mke bora maana alikia jeuri mno na alikua haipendi hata kidogo dini ya kiislam na alikua hawezi kuzuia hisia zake zidi ya uislam
Mwanamke wa pili;
Huyu nilikutana nae mwanzoni mwa 2024 ni muislam, mmakonde, bado alikua hajamaliza ujana (umri miaka 24), si mkweli mala aniambie anaishi kwa kaka yake mala dada yake, anaomba sana pesa hadi kero, alikua ananilazimisha sana nimuoe, jeuri akiamua siku nzima ananizimia simu na anaweza akasafiri bila kuniaga naye nikapiga chini
Mwanamke wa tatu;
Huyu dada anaishi mtaa wa pili baada ya mtaa ninaoishi ni muislam, huyu dada ajuagi utani wa mapenzi anakuzingu muda huohuo, anatabia ya kupayuka kwa sauti kubwa mkikwaruzana, anapenda sana kununa bila sababu za msingi, pia nazani anashida kwenye hisia alishawahi ingia geto kwangu mara 4 sijaambulia chochote ukimuandaa yeye anapiga story tu na ukiingiza dushe ni ugomvi hapo na wala si bikra naye tabia zikanishinda nikapiga chini
Mwanamke wa nne;
Huyu mdada alikua anashepu namba 8 ni mkristo miaka 22, si mkweli alikua beki 3 aliniongopea anaishi kwa dada yake, papuchi yake ilikua inanjia kubwa sana kama mdomo wa mamba ukimuweka dog style aisee ni mishuzi tu hadi kero, alikua hapendi kunyoa nywele za papuchi sijui alikua anashida gani huyu mdada anaacha msitu na hili joto la Dar ukimlazimisha ananuna na papuchi hatoi nilikua nazagamua hivyohivyo na ma nywele yake naye nikapiga chini
ANGALIZO; usioe au usiolewe kwa kukurupuka hakikisha mnatengeneza partinership mchunguzane mkishaliziana ndio uoe au uolewe binaadam tunatabia ya kuficha mapungufu usiombe hayo mapungufu ukutane nayo kwenye ndoa utasaga meno.
Imani yangu mwaka huu 2025 mungu atanibariki mke bora, mcha mungu, mkweli na mnyenyekevu insha'Allah
Unakuta unatafuta mwanamke hapo hapo mazingira ya 💵 hayajakaa powa bado upwiru nao unakaba kooKweli mkuu
Mbona kama unanisema mkuuUnakuta unatafuta mwanamke hapo hapo mazingira ya 💵 hayajakaa powa bado upwiru nao unakaba koo
Katika maisha ya mwanaume hiyo kawaida mzee 😂unapambana mambo hayajibu, unajaribu ajira huko ndo us3ng* mtupu, ukiangalia contact hamna backup mapenzi nayo yamekua konyo hapo upwiru mazee upwiru afu siku mambo yakianza kujipa unashangaa tu wamekua availableMbona kama unanisema mkuu
Shida ni zako peke yako ila raha ni za wote kikubwa ni kujitafuta na kujipata. Life ni tight sana ila hakuna namna zaidi ya kupambana.Katika maisha ya mwanaume hiyo kawaida mzee 😂unapambana mambo hayajibu, unajaribu ajira huko ndo us3ng* mtupu, ukiangalia contact hamna backup mapenzi nayo yamekua konyo hapo upwiru mazee upwiru afu siku mambo yakianza kujipa unashangaa tu wamekua available