Maisha ya mahusiano ya mapenzi niliyopitia mwaka 2024

Huyo na mzee wake baada ya miaka mitano hakuna muoaji watakubali maharj ya 1.5M.
 
Nimekusoma kwa makini,maoni yangu kwako ni haya:
1.Kumbuka hao wanawake pia walikuwa wanahesabu dosari zako wewe kama ambavyo wewe ulikuwa unawahesabia zao
2.Mke ambae haswaa ndio anakufaa ni yule wa kwanza,mchagga,mjristu ambae unafai haupendi uislamu,huyo ndio mkeo,mtafute uongee nae na uanzishe maisha nae,kwenye maeneo ambayo huridhiki nayo ongea nae na kayika yale ambayo yeye hakunaliano nayo pia muongee ili mfikie compromise,hiyo ndio ndoa,haiwezekani kuwa mtakubaliana kila kitu
 
Mbona kama unanisema mkuu
Katika maisha ya mwanaume hiyo kawaida mzee 😂unapambana mambo hayajibu, unajaribu ajira huko ndo us3ng* mtupu, ukiangalia contact hamna backup mapenzi nayo yamekua konyo hapo upwiru mazee upwiru afu siku mambo yakianza kujipa unashangaa tu wamekua available
 
Wewe mkamilifu??? Na kwa maelezo yako binafsi sijaona mume hapo
 
Shida ni zako peke yako ila raha ni za wote kikubwa ni kujitafuta na kujipata. Life ni tight sana ila hakuna namna zaidi ya kupambana.
 
Kama hao wengine nao ni Mungu ndiye alikusaidia kuwatafuta, Tutarajie maajabu zaidi kukutokea mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…