Maisha ya Masanja akiwa shambani

kwa hiyo siku hizi kaacha kucheza mpira au yanga wamemtema!?
 
my sweety umeongea point sana aisee nimekukubali kabisa yaani uvivu wako ndio umaskini wako
 
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.










Ila babu na wewe Mbeya sana
 
Uwongo mtupu huyu kila muda yuko dar kuna wakulima wanashinda shamba hawatoki...madawa ya kulevya ndio yamemtoa hakuna cha kilimo wala nini
 
yeye kasema pesa zake zinatokana na kilimo na ushahidi wa picha huo hapo... Haya na nyie mnaosema ngada ndio imemtoa tuleteeni ushahidi basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…