Maisha ya Masanja akiwa shambani

Maisha ya Masanja akiwa shambani

kwa hiyo siku hizi kaacha kucheza mpira au yanga wamemtema!?
 
Maisha yako ni kama ngalawa ambayo wewe ndio nahodha wake.....juhudi zako na umakini wako wa kupiga makasia ndivyo vinavyokuhakikishia kufika salama safari huko ulipopanga kwenda......uvivu wako na uoga wako wa kupambana na mawimbi makali ya bahari vinaweza kuifanya safari yako iwe ngumu na hatimaye kuishia njiani......
Safari yoyote ya maisha inaanza na hatua moja mbele.......

Kumbuka hakuna jambo lenye kheri linalopatikana kiurahisi....mchakato wa kuifikisha boti yako nchi kavu unataka ujasiri na uvumilivu wa kiwango cha juu sana......
3dfdf45b803d9c9dd2eeb6bdc51c3254.jpg
my sweety umeongea point sana aisee nimekukubali kabisa yaani uvivu wako ndio umaskini wako
 
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.

xMasanja-akijiandaa-kwa-mapishi.jpg.pagespeed.ic.7xNuHaPnvG.jpg


xMasanja-akipika-nguna.jpg.pagespeed.ic.DPj1YhnigV.jpg


x13442150_295365037470316_3094507605509335334_n.jpg.pagespeed.ic.XQ2W2x_2Cp.jpg


x13445693_969858829779548_8763166909066372782_n.jpg.pagespeed.ic.oOpK-2JSDM.jpg



Ila babu na wewe Mbeya sana
 
Uwongo mtupu huyu kila muda yuko dar kuna wakulima wanashinda shamba hawatoki...madawa ya kulevya ndio yamemtoa hakuna cha kilimo wala nini
 
yeye kasema pesa zake zinatokana na kilimo na ushahidi wa picha huo hapo... Haya na nyie mnaosema ngada ndio imemtoa tuleteeni ushahidi basi.
 
Back
Top Bottom