Maisha ya mfungwa anayesubiri kunyongwa gerezani

Hawa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa huvaa sare tofauti na wafungwa wengine?Na kwanini hawafanyi kazi mwenye idea please
 
Yeah mambo ya condemn hayo ukienda Maweni kuna wafungwa wengi sana wanasubiri hizo adhabu.
Nipe hint za maisha ya Life sentence na Condemned tofauti yao na wafungwa wengine ni nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…