DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
- Thread starter
- #21
Ntampost mwishoni nifungue code 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntampost mwishoni nifungue code 😀
Huko kutamba umekuonea wapi au unabashiri maudhui ya stori usiyoijua?Yaan story ndeeefu eti unatamba una demu wa kinyaturu... subiri utakiona
Oky okyOya uwe unaunganisha hizi story kwenye uzi mmoja inakua rahisi kufuatilia. Ukiweka kila episode na uzi wake unapoteza audience.
Yani baada ya kumtumia picha akawa na hamu ya kukuona kisa unavutia? kwani ukiwa unamjibu huyo (mpumbavu) hakukuona?
Nimekaaa tayari.Hii kitu ilinirudsha mchezon na nikaondoka kwa furaha maana nilijua hatoambulia kitu ukizngatia hata whatsp nisingetafutwa na tudem twangu twa hom so nikasema hii mbungi ni 0-0 mpka dk 90 na kila mmoja atatoka na puntos uno. Tulielekezana ma pattern then tukasambaana. Corazon alikua anatumia iphone 6G mhuni kivodaphone flan chakiwaki.
EPISODE 4.....
Kesho yake asubuhi baada ya usiku wa jana kubadirishanna cm (japo haikunifurahisha ile kitu) saa kumi na mbili na madakika yake niliamshwa na cm na baada ya kuangalia alikuwa ni Corazon.
Corazon: Hey! Morning
Camavinga: Morning! How is it?
Corazon: Am good, jus wake up ujiandae
Camavinga: It's okay am up now
Yalikuwa ni maongezi ya dakika chache tu na akakata cm.
Tulienda class na nakumbuka kilikuwa ni kipindi cha biology. Nilimtangulia kufika darasani na kama kawaida tulikuwa mbele kabisa na Queen. Queen alistuka kidogo kuona nina iphone na akaniuliza kama nimenunua cm mpya nikamjibu kwamba hapana ilikuepo tu nilikua siitumii inazingua kidogo ina kaubovu.
Mazungumzo yaliendelea......
Queen: Nimekupigia cm asubuhi hii hukupokea na text hukujibu
Camavinga: Sikuwa na texts na kipindi unapiga nilikua washroom naoga. Niliamua kumdanganya na alionekana kulidhishwa na yale majibu. Aliniomba cm aiangalie na hapa nikatafuta njia ya kumnyima kwani kulikuwa na wallpaper ya Corazon kwahiyo angegundua kuwa kunakitu nimemficha na sikuwa tayar agundue kuwa kunakauongo nimekafanya.
Nilimzuga kwamba kuna mtu ananipigia na nikatoka nje na nikapoteza muda huko nje mpka lecturer alipoingia class ndo nikarud class namimi. Tulipiga pindi na kwenye muda wa saambili na nusu kipindi kiliisha na tukatawanyika. Hapa nilijua kabisa Corazon lazima atanitafuta ili achukue cm yake na mimi nichukue yangu kwahiyo nikamuaga Queen kuwa nahitaji kurud room fasta na nilifanikiwa kumtoka Queen na nilipofika tu room nilisikia cm ikiita na alikua ni Mama yake Corazon kwahiyo sikupokea. Baada ya sim kukatika ikaingia namba yangu means Corazon alikua akinipigia. Nilipokea na akaniuliza nipo wapi nikamjibu nipo room, Corazon alinammbia yupo cafe anapata breakfast na akanitaka niende kumjoin lakini nikamwambia kuwa nilikuwa bize kidogo na nisingeweza kwenda. Alikuballi na akanambia kwamba itabidi tuonane kabla ya kipindi cha pili ili tukabidhiane cm na ikaisha hivo. Haukupita muda mrefu ki cm changu kidogo kilianza kuota na alikua ni baba yangu na kikubwa ilikuwa ni kujuliana hali na kunitaarifu kwamba mwezi ujao ambao ulikuwa ni mwezi wa pili amepanga kwenda kuwaona ndugu zake Rwanda na akanambia kama ningekuwepo home basi tungeenda naye. Hii habari ilinitoa mchezoni kidogo maana nilionakabisa nimekosa fursa ya kwenda Rwanda na father.
Tulionana na Corazon kabla ya kipindi cha pili na tukabadilishana cm zetu kila mmoja kachukua yake. Palepale kacm kadogo kakaanza kuvibrate na ilikuwa inasikika kiasi kwamba hadi Corazon aliisikia. Nilitaka kuvunga lakini Corazon akanambia cm kuwa cm inaita na sikuwa na namna nikapokea. Nilipotoa nilifurahi baada ya kukuta kuwa ni brother ndiye alikua anapiga na nilipokea kwa kasi ya 5G na bashasha.
Camavinga: Brother niajeeeeeeeeeeeee
Brother: Poa dogo maisha ya chuo unayaonaje?
Camavinga: Poa sana bro vip nawewe kazi inaendaje? ( bro naye alikuwa ni mwalaimu na aliajiriwa zile ajira za mwezi kwa 12, 2017 kama mnakumbuka)
Tuliongea na nikamkatisha nikamwambia kuwa nawahi kwenye kipindi na kumuahidi kumtafuta baada ya kipindi.
Nilimuomba radhi Corazon kwa kumpotezea muda na hakua na sera zaid ya kunambia hakuna tatizo.
Tulipia stors kidogo na kuachana pale na kuweka miahadi ya kuonana jioni baada ya vipindi jioni.
Tulimaliza vipindi ilikuwa saa 12 na dk 45 jioni na saa moja na nusu jioni tulionana na Corazon.
Jinsi nilivyoikana pisi yangu ya kitusi nilioiacha home kwasababu ya kulinda ukaribu wangu na Corazon........
See you in the next episode..........