Maisha ya mkenya wa kawaida

Kiswahili chao kimejaa mistakes, watu wa Mombasa tu ndo wanakijua..... Ila kizuri kusikiza, vyenye hutamka
 

Acha izo kijana ushakua MTU mzima MTU atachaje kutawaza c atakua kama gari LA taka,..ushakua MTU mzima acha upoyoyo
 
Githurai 45 ni

Githurai 45 ni kunoma nilipita huko siku 1, ila system ya kulipa rent monthly sio nzuri kwa wajasiriamali (wafanyao unofficial jobs) ni nzuri kwa wennye mishahara, hii ya kulipia cumulative miezi 6 au mwaka inakupa mda wa kufanya mambo yako kuliko kupigizana makelele na landlord

Na vile huku rent unapay kwa agent(dalali) sio house owner heheee jamaa hawanaga huruma juu usipolipa wanakutoa nje papo hapo
 

Naungana na Wewe hasa kwenye hizo positives ones ila katika negatives ones hizo nadhani huku Kwetu Tanzania ndiyo zimetukuka kabisa kiasi kwamba hata hao Wakenya tumewazidi.
 
Advantage ya kulipa monthly ni in case nyumba ina tatizo mwezi ukiisha unasepa zako sio mpaka muanze negotiations na mwenye nyumba na in most cases hela hairudi.
Mimi Kenya napenda kutembelea miji mingine Kama Nakuru Naivasha Kisumu Kericho Mombasa no huko unaenjoy sana kuliko Nairobi roho juu juu muda wote
 
Namba 1 na 2 naweza kukubaliana nawe,maana nina marafiki wakenya ambao wakija bongo uwa lazima niwapeleke home,lkn inakuwa tofauti pindi mimi niendapo kenya,uwa tunaishia kukutana mjini kwenye mishe zetu
 
Baby twende tukajibabambe hahaha,
Uhuru Park ndio kati ya vitu ambavyo nimevipenda Nai Tz wanatakiwa kuiga
Unawahi kupanda matatu asubuhi kabla demand haijawa kubwa nauli ndogo unaenda city park unapumzika ukichelewa bajeti inaharibika

Ila wamejitahidi kupanga mji idara zinazofafa kukaa karibu karibu
Kudos Nai
 
Of course sawa, kero ya miezi upatapo emergence za kuhama.....
 
Nchi yoyote ile ukiitembelea na kuishi kwenye mitaa yao ya mabanda lazima utapata mengi ya kukosoa, na ndio maana nchi nyingi hupenda kukaribisha watu wenye hela na wataalam lakini sio wahangaikaji watakaoshindana na wenyeji/wazawa kwenye kubeba mabox na kubanana kwenye madaladala na kung'ang'ania ubwabwa kitaa.

Tabia kama hizi ndio hufanya wale watu wa Afrika Kusini wanaibuka kwa fujo na kuanza kupiga piga wageni uchwara kama hao. Leo hii nikiingia ghetto za Bongo, kama zile huwa tunaona kwenye nyimbo za singeli au ule wimbo wa Mrisho Mpoto 'njoo uichukue' nitakuta hayo maajabu tu.

Unapokwenda kwenye nchi za watu, ili usikumbane na hayo ulioandika humu, hakikisha una utaalam ambao unaweza kukupa kipato kinachokukuwezesha kuishi maeneo yenye hadhi na sio kupigana vikumbo na wazawa wakati wanafuata misosi kwa mama nitilie.

Cha msingi, maisha ya kitaa hufanana kwenye nchi nyingi, kama wewe ni Mtanzania mwenye akili naomba utazame huu wimbo hapa chini na kuuskliza kwa makini, utajifunza kitu ili siku nyingine utatumia akili kabla ya kuibuka na maada za kihivi. Halafu naona unapenda kutumia M4C, kama sijakosea hiyo inahusiana kiaina na chama Chadema, utakua unawatia aibu wenzako wa hicho chama.

 
Tutengeneze Uhuru park Daresaam pale Kokobeach au Jangwani , Zanzibar wana Forodhani Park
 
Wewe ni Muungwana umeukiri u kweli........ Ila maisha magumu wanateseka RAIA.... Gepu ni KUBWA sana kati ya Tahiti na maskini ukilinganisha na Tz.... Ama namna gani?
 
Namba 1 na 2 naweza kukubaliana nawe,maana nina marafiki wakenya ambao wakija bongo uwa lazima niwapeleke home,lkn inakuwa tofauti pindi mimi niendapo kenya,uwa tunaishia kukutana mjini kwenye mishe zetu
Mazingira tuliokuzwa ni tofauti mkuu sie tumekuzwa kijamaa wao wakuzwa kwenye kibepari(ubinafsi+majigambo)
 
Wewe ni Muungwana umeukiri u kweli........ Ila maisha magumu wanateseka RAIA.... Gepu ni KUBWA sana kati ya Tahiti na maskini ukilinganisha na Tz.... Ama namna gani?

Hiyo gap umetumia kipimo/kigezo kipi, maana nijuavyo kwa takwimu za kitaalam na kisayansi na kwa mujibu wa banki kuu ya dunia, Watanzania 70% ni maskini Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges

Aslimia 30% ya Watanzania ndio wenye nchi, wengine mnataabika kule migodini na mitaani. Hizo ni takwimu za benki ya dunia sio mimi.
 

Tatizo lenu nyie ni kujiona bab'kubwa wakati ni washidashida tu. Mna majigambo ya kitoto na kijinga wakati kuna ufukara wa kutisha nchini mwenu.
Hamna watu wanaishi kwenye mabanda ya mabati chakavu Dar es Salaam, hamna sehemu za ovyo zaidi ya Kibera,Korogocho, Huruma, Matopeni na mitaa mingine ya mabanda Nairobi.

 

Ndio shida yako/yenu mkuu, mnapopewa facts za kutoka field mnang'ang'ania makaratasi ya Wazungu, mnaona wazungu ndio wenye fact
World bank wametoa fact zao kuwa uchumi wa Tanzania umekua kwa kiwango kikubwa kuliko nchi yoyote ya Africa Mashariki, lakini hayo ni makaratasi tu, fact ni kuwa tulioko field tunajua taabu tunayoipata ambayo haiendani kabisa na data hizo za UN

Kubali ukweli ukiweke huru
 
Wakenya ni ndg zangu wadamu ola ukweli ni huyu tunaousema.... Mabanda ya kibera na mwingine mliyatunza ya nini? Utalii?

Kuna mda mlijidai kujenga nyumbani kule kuwapa RAIA, lakini zilipokamilka wakawa wanapewa wakikuyu tu, ukabila ni hatari

Lakini pia statistics haziongei kila kitu, angalia uhalisia...... Hata manzese ya Dar sio h hivi,

Yaani nyumbani ya tofali ni anasa kwa RAIA wa kawaida, mabanda yakichemka una kuwa kama unakaangwa, hasa kama umeoa au kuolewa ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…