Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshakimbilia kwenye data za wazungu ili kujifariji..HahahaMissM4C
4. Wachache sana wanao afford kula balanced diet, wengi hula mboga tu(sukuma, terere, kienyeji, etc kwa ugali, nyama ni adimu sana hula matajiri tu.....
a.
![]()
b.
![]()
5. Mb za Kenya huisha kama upepo na very expensive, Tsh 50/= (1110/= Tsh ) unapewa Mb-68 tu, ambazo ukilog in fb dk 10 zinaisha, wakati Tz Fb ni bure na Kwa Tsh 1500/= unapata 1GB and a lot of airtime for a week.
Kwa hili nalo si kweli. 50kshs=150mbs
Hakuna vibando vya kupiga simu kama Tz, mfano Tz unaweza weka Salio ukanunua dk kadhaa za kupiga, Kenya Unaweka Salio na kupiga hivyo hivyo kavu kavu, kudadeki, Tz tuna unafuu mkubwa wa mawasiliano, huduma kama Halichachi Bando n.k zinasaidia wana nchi.
Who still uses phone booths? They died of in circa 2003 in Kenya, with the advent of the cellphones, they now remain in the museums as nothing more than the the relics of history.
5. Uchafu na taka ni changamoto sana, wana nchi hutupa hivyo maana hakuna utaratibu maalumu kama magari, yapo machache but not affordable to wana nchi wa kawaida wa hali ya chini
Again...
15 Dirtiest Cities in the World
6. NAULI kila city basi hujipangia haiko fixed na hakuna governing body yenye hupanga na kuamua nauli kama SUMTRA TZ... So naweza end a tao(town) kwa mbao(20bob=Tsh 440\=) lakini ujaridi kwa 70bob(=1500/= Tsh au soo(Tsh 2000/=) hii INA kufanya ushindwe kupredict
Forces of market demand and supply operates in every aspect of our economy. No need for such regulations by the state. It's capitalism stupid.
7. Wakenya hawasalimiani njiani, unapita kimya kimya unless uwe mnajuana ndo unaaema 'Sasa......" Tz ni waungwana ukipita kwa njia ni must utae hae juu waweza dondoka mbele akaja akakusevu uliyemuacha nyuma
But I dont know who u forkin are!
ironically speaking. lolTruth is indivisible, ukweli siku zote huumiza upande mmoja na kufavour upande mwingine.
I love truth.
Nasubiri Team wanjala walete utitiri wa Mapichapicha ya thika Huge Multi Mega Highway na Nyumba za Kufanana hapo Nai. Ili kujifariji
Which part of Kenya do you want?MissM4C
8. Makelele MENGI sana, tao(town) juu magari yako MENGI sana hasa ya abiria, mahoni pipiiiii, it make the city look hooliganic... Tz uko poa juu mabasi yamepigwa stop kuingia city centre hata yakiingia yana location maalumu sio kuzagaa kama Nairobi
At bus stations, yeah, but within the city centre proper it is prohibited to hood under the NEMA anti-pollution law. But there are cities louder than Nairobi for heaven's sake.
9. Matapeli yamejaaa, Ma conmen, ukiwa street kuibiwa simu ni kawaida, dk mbili unaoneshwa kisu, hasa Eastleigh kule, ni balaaa
Just take care of yourself while in Nairobi, jiji la wajanja
1
Kwa Kifupi Maisha Ni magumu sana kwa RAIA wa daraja LA chini, but starehe kwa matajiri na wenye nacho
That's a the reality pretty much everywhere, not just in Kenya, bimbo!
10. Mabangi yameharimu vijana, vijana waziwazi wanatafuna miraaa, na Rais Wao aliruhusu and promised to fund miraa projects, this is insane...
Lie to me that u dont have problem of drugs in Tanzania...
11. Makelele ya mziki ndani ya matatu yanaharibu sana maskio, na huwezi sikizana kwa phone ukiwa ndani ya matatu, regaae musics most preferred na matatu ziko equipped na music system nzito sound crazy for we non citizens who were not used to this before
It's not like there arent alternative buses with no noise in Nairobi. Nobody forced u to board those buses. If it's too loud, u are then definately too old.
Note:- This report is based in Society with low socioeconomic status which constitutes 75% of Kenyans in Nairobi
75% according to whom? The last data I saw by Annael revealed that 56% of Kenyans living in cities live in slums, another data showed thowed that in Dar, well over 70% live in slums.
Hahaha, hao hawawezi kanyaga Jamhuri ya turkana.Kenya Police
![]()
![]()
![]()
Hahahaha. Hawawezi hata kidogo.Hahaha, hao hawawezi kanyaga Jamhuri ya turkana.
Hahahaha. Hawawezi hata kidogo.
Twende sasa afadhali umejileta.
This is only in KenyaSecurity wa kidanganyika kiscoutscout hivi
View attachment 500678
View attachment 500679
View attachment 500681
Twende sasa afadhali umejileta.
Nairobi Kenya
![]()
![]()
![]()
Hawataki kustick to their lanes.Let us assume that kweli nyinyi hamna haya matatizo yote........mbona hili basi?
![]()
Nairobi City
Those water stats. Tanzania na Somalia wako same category lol. These guys talk na wako worse than Kenya. I am not saying we are well off, but they are worseNimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....
Why?
1. Plot wanazoishi sio hygienic, choo kimoja hushea watu zaidi ya 30+ which is dangerous in case of disease epidimics
a. 15 Dirtiest Cities in the World
b.
![]()
2. Nyumba ni za mabati, kama mabanda ya nguruwe, huwezi amini kumuona mtu mstaarabu kwa road but ukenda kwa plot yake ni ya bati kama nguruwe
But u were also living in those places
3. Mitaa mingi haina maji, hutegemea maji yanayosambazwa na malori, Lori moja husambaza maji mtaa mzima, watu hugombania, ndio ya 20litre huuzwa 20bob=440/= Tsh... Wana wake hubeba maji mgongoni sio kichwani kama ngamia au punda wakitembea a distance.
That is a lie. Most homes in Nairobi depend on the tap water from the NWSC
![]()