Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Kama ID fake ndio zinatumika lazima pia kuwe na maisha fake ya mtandaoni.
 
Umenena ila mbona humu wapo hadi waganga wa Kienyeji. Kwa kiingereza sijui huwa wanaitwaje vile.


Pia kuna sehemu nyingine nakutanaga na nyuzi za makahaba kabisaaa naona humu mila fani ipo hata mafundi,wakulima na wafanya biashara pia niliona kuna watu wa namna hio.

Ila polisi hata kama wako nadhani Wakina Siro,Bashite na Wengineo hawapo maana kuna nyuzi zingine zinawaanikaga hadi raha humu ni kila kitu bhana ni komesha lao sema kuna vitu vibanwa banwa tu baada ya Kuruseyeye kusema mimi msiniguse ntatuma malaika afute social media
 
Back
Top Bottom