SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
āļøUnajua kuwa single ni mbaya so tunahitaji tuwe na maisha ya wawili na tupate watoto tujenge familia .
Sasa kwa wale walioolewa wa 2020 to 2023 hapo maisha ya ndoa yapojee.
Kwa maana visa vipo nyingi sana . Wengine wameuana ,wameachana,wanaishi tu kwa ajili ya kitu .
NAOMBA KAMA UMEOA /KUOLEWA ndio utoe ushauri.
Nimekosea bhana kuandikaNafasi ya kuwa single uliyo ipata kuwa makini usije kuichezeaš¤
Sasa changamoto ni zilianza ndoa za 20 19waliooa/ kuolewa miaka hiyo au wote?
Haujakosea upo sawa.Nimekosea bhana kuandika
sawa sasa wanaotakiwa kujibu hapa ni hao walioolewa na kuoa miaka hiyo au wote hata walioa na kuolewa 1990Sasa changamoto ni zilianza ndoa za 20 19
1990 umeoa acha utani basisawa sasa wanaotakiwa kujibu hapa ni hao walioolewa na kuoa miaka hiyo au wote hata walioa na kuolewa 1990
KwaniniNafasi ya kuwa single uliyo ipata kuwa makini usije kuichezeaš¤
Ndoa ni sawa ni Gereza cha muhimu tafuta mfungwa mmoja mtakayewezana na kukaa Selo moja huku mkisubiria siku kifungo chenu kitakapomaliza mtolewe Gerezani, elewa nilivyomaanisha.Unajua kuwa maisha ya kuwa single ni magumu, hivyo tunahitaji kuwa na maisha ya wawili, tupate watoto na tujenge familia.
Kwa wale walioolewa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, maisha ya ndoa yakoje? Visa vipo vingi; wengine wameuana, wameachana, na wengine wanaishi pamoja kwa sababu fulani.
Naomba, kama umeoa au kuolewa, utoe ushauri.
Mie sijafika 40,nawewe hujaambiwa uongee hilo umeambiwa utoe mawazo yako kwenye hili
Habibi Come to Africa, kuna wale wenye Dreadlock hawajui hayo!!