Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Na ni bora masilahi yake yalindwe maana kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu. Kiukweli hatujui tunachokitaka ni sawa na wanawake wapumbavu pia wapo nao hawajui wanachokitaka. Muda mwengine ni afadhali ya timu kataa ndoa kuliko hawa wapumbavu wawili wasiojua wanachotaka wanapokutana!!Kwa dunia ya sasa ndoa haina maana kwa mwanaume, labda mwanamke ndie anaweza kunufaika na ndoa maana kuna masilahi yake yanalindwa kisheria akiwa ndoani.



