Na ni bora masilahi yake yalindwe maana kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu. Kiukweli hatujui tunachokitaka ni sawa na wanawake wapumbavu pia wapo nao hawajui wanachokitaka. Muda mwengine ni afadhali ya timu kataa ndoa kuliko hawa wapumbavu wawili wasiojua wanachotaka wanapokutana!!Kwa dunia ya sasa ndoa haina maana kwa mwanaume, labda mwanamke ndie anaweza kunufaika na ndoa maana kuna masilahi yake yanalindwa kisheria akiwa ndoani.
Kama kuna uwezekano wa mwanamke kuwa mpumbavu basi na masilahi ya mwanaume yanatakiwa kulindwa pia. Taraka na child support zinawaumiza sana wanaume kiuchumi.Na ni bora masilahi yake yalindwe maana kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu. Kiukweli hatujui tunachokitaka ni sawa na wanawake wapumbavu pia wapo nao hawajui wanachokitaka. Muda mwengine ni afadhali ya timu kataa ndoa kuliko hawa wapumbavu wawili wasiojua wanachotaka wanapokutana!!
Usemacho ni kweli lakini pia funzo ni kwamba ili mambo yako yasiwe na matatizo tafuta mtu sahihi wa kuwa nae.Kama kuna uwezekano wa mwanamke kuwa mpumbavu basi na masilahi ya mwanaume yanatakiwa kulindwa pia. Taraka na child support zinawaumiza sana wanaume kiuchumi.
Hapa kwenye kuchagua vijana wa leo huwa tunakosea sana. Sijui tuna tatizo gani linapokuja suala la kuchagua mke, kwa mtu yoyote makini utaziona red flags mapema tu, cha kushangaza bado vijana wanwafanya gamble ya kuoa mwanamke ambae ashakuonesha red flags.Usemacho ni kweli lakini pia funzo ni kwamba ili mambo yako yasiwe na matatizo tafuta mtu sahihi wa kuwa nae.
Red flags kama zipi mkuu?Hapa kwenye kuchagua vijana wa leo huwa tunakosea sana. Sijui tuna tatizo gani linapokuja suala la kuchagua mke, kwa mtu yoyote makini utaziona red flags mapema tu, cha kushangaza bado vijana wanwafanya gamble ya kuoa mwanamke ambae ashakuonesha red flags.
Kwenye maeneo mengi wanaume tupo makini lakini hapa kwenye kuchagua mke wa kuoa tunachagua kiholela holela tu kama vile sio maisha yetu.
Mwanamke anawaachia wanaume wengine uhuru wa kuwa karibu nae mfano kutoa namba ya simu, kupokea ofa zao n.k, mwanamke umempata kibiashara na mahusiano yanaenda kibiashara, mwanamke ana vitabia vya ujeuri, ubinafsi, gubu, lugha mbovu, uferminist n.k lakini kijana bado anafanya gamble ya kuoa uyo mwanamke.Red flags kama zipi mkuu?
Ishi na mwenza yeyote ,mme/mke, kama unaishi na kichaa. Usiishi naye kama mwenye akili timamu. Nina maana,, huwezi kushindana na kichaa, hivyo utatumia akili, busara, hekima na uvumilivu kuishi naye.Unajua kuwa maisha ya kuwa single ni magumu, hivyo tunahitaji kuwa na maisha ya wawili, tupate watoto na tujenge familia.
Kwa wale walioolewa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, maisha ya ndoa yakoje? Visa vipo vingi; wengine wameuana, wameachana na wengine wanaishi pamoja kwa sababu fulani.
Naomba, kama umeoa au kuolewa, utoe ushauri.
Ishi na mwenza yeyote ,mme/mke, kama unaishi na kichaa. Usiishi naye kama mwenye akili timamu. Nina maana,, huwezi kushindana na kichaa, hivyo utatumia akili, busara, hekima na uvumilivu kuishi naye.