Maisha ya ndoa ni kusaidiana

Maisha ya ndoa ni kusaidiana

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Sio mwingine anakuwa bosi kwa mwingine, inatakiwa mke na mume washirikiane katika kuendesha gurudumu la maisha kwa furaha, huku wakidumisha ahadi waliyoiahidi wakati wa kiapo cha ndoa. Kwa wale wanaotamani ndoa, inabidi kujuwa wajibu wao kabla ya kuingia kwenye ndoa husika.

ndoa.jpg
 
Mwanaume tafuta tu pesa umpende mkeo, wanawake tumeumbwa kutii tu
Ukiona mwanaume anaosha vyombo ujue Mke wake anamzidi kipato. Draw that conclusion everywhere. Acha wajifanya wanajua mapenzi sana kuzidi Diamond na .....fidodido
 
Kila mtu afanye majukumu yake, unisaidie kuosha vyombo, kwani mimi sina mikono, wewe nenda katafute pesa, hushindwi kutoa excuse kwamba hujatafuta pesa sababu ulibaki home kufua, kuosha vyombo. Hapana baba utakula kwa jasho, vyombo ntaosha na kupika😜🏃‍♀️
 
Bora hata wewe, Wanawake wenzio humu jF kuosha vyombo na kupika hawataki, ila wanataka mwanaume uwaletee pesa financial services
 
Bora hata wewe, Wanawake wenzio humu jF kuosha vyombo na kupika hawataki, ila wanataka mwanaume uwaletee pesa financial services
Mimi ntajitahidi kukupikia, kufua na kuhakikisha una afya njema, ila sasa na wewe ujitahidi kututafutia pesa kwa maendeleo ya familia, ukileta blah blah sitokuelewa nahitaji fungu mezani mzee😂
 
Back
Top Bottom