Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Vibaya mno. We tafuta pesa tu hayo mengine waachie wao.Shida yenu tukiwa hivyo mnavyotaka mnatuchukulia Maboya.
Haiwezi kubomoka ila kundi la JK limepata mpinzani wa kweliNchi Hii Inabomoka Tu Sasa Hivi
Ukiona mwanaume anaosha vyombo ujue Mke wake anamzidi kipato. Draw that conclusion everywhere. Acha wajifanya wanajua mapenzi sana kuzidi Diamond na .....fidodidoMwanaume tafuta tu pesa umpende mkeo, wanawake tumeumbwa kutii tu
Ongeza sauti please...Mwanaume tafuta tu pesa umpende mkeo, wanawake tumeumbwa kutii tu
Umeona huu ni msaada wa kinafki kabisa, mimi utachambua hizo mboga na ukimaliza kesi ya messages inaendelea baba😂Kama huyu..
View attachment 2041153
Bora hata wewe, Wanawake wenzio humu jF kuosha vyombo na kupika hawataki, ila wanataka mwanaume uwaletee pesa financial servicesKila mtu afanye majukumu yake, unisaidie kuosha vyombo, kwani mimi sina mikono, wewe nenda katafute pesa, hushindwi kutoa excuse kwamba hujatafuta pesa sababu ulibaki home kufua, kuosha vyombo. Hapana baba utakula kwa jasho, vyombo ntaosha na kupika😜🏃♀️
Mimi ntajitahidi kukupikia, kufua na kuhakikisha una afya njema, ila sasa na wewe ujitahidi kututafutia pesa kwa maendeleo ya familia, ukileta blah blah sitokuelewa nahitaji fungu mezani mzee😂Bora hata wewe, Wanawake wenzio humu jF kuosha vyombo na kupika hawataki, ila wanataka mwanaume uwaletee pesa financial services