Maisha ya Ndoa ni Simba na Yanga?

Maisha ya Ndoa ni Simba na Yanga?

Simkumbuki ni mdada gani alitoa hii kauli ntamkumbuka humu jamvini milele: 'Mwanamke hufikiria mwanaume atabadilika na mwanaume hufikiria kwamba mwanamke hatabadilika'. Kwangu hii kauli ina maana kubwa sana, hebua angalia na hii: "when a woman gets married she attains a Master whereas a Man losses his Bachelor". Teheheheheeeeee! Tatizo la wanawake mkishaolewa ndo mnaona basi ni wakati wenu sasa kumrekebisha mwanaume. Ziataanza kanuni na taratibu za ajabu ajabu hapo mpaka njemba unaanza kujuta why ulimuoa huyu demu.

Ila wenye busara zao, akhaa, wanenda taratibu mpaka mwanaume unajishtukia.[/QUOTE]

Hapo umesema kweli, mapenzi hayahitaji maguvu, mangumi na matusi, kejeli, kufanyiana ukali
 
Yeah mi nataka niseme na walio kwenye ndoa jaribuni sana kurudisha ule urafiki wa mwanzo ndani ya nyumba zenu bado ni rafiki huyo mwenzi wako...wanawake/wanaume msiwachukie wandani wenu wala msiwe na uchungu nao sameheaneni makosa yenu yote nyie wawili wala msikimbilie wachenga na makorokoro yote .....Nyumba yenu iwe nyumba ya sala.. ombeaneni bila kuchoka.....na mahitaji yenu yote yajulikane na baba yenu wa mbinguni...

Umesema kweli!
 
haiayaiya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea...
......kuolewa...kuolewa........
...kwaheri ndugu zangu kuonana majaliwa..............
Okada ,ukiamua kuolewa kwanza kubaliana na maneno ya huu wimbo vinginevyo acha,
........for better or for worse......
.......habari ndio hiyo........
 
Back
Top Bottom