PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MUME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MUME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MUME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MUME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MUME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MUME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MUME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!
Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.
MUME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MUME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MUME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MUME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MUME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MUME: Aaaa haiwezi tokea.
MKE: Naweza kukuamini?
MUME: Naam.
MKE: Jamani mpenz!!
Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.