Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Sep 1, 2020 #41 Pakawa said: Kwani mwenyewe alishawahi kuwaambia kwa nini alipatwa na shida ile? Sio kila kazi au shughuli ni nzuri kwa Afya Tuwe waangalifu na maisha yetu Click to expand... Nilichowaza hapo 'in first place' nipo sahihi?[emoji848]
Pakawa said: Kwani mwenyewe alishawahi kuwaambia kwa nini alipatwa na shida ile? Sio kila kazi au shughuli ni nzuri kwa Afya Tuwe waangalifu na maisha yetu Click to expand... Nilichowaza hapo 'in first place' nipo sahihi?[emoji848]
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Sep 1, 2020 #42 Savimbi Jr said: Miradi ndio wanapopiga pesa MECCO na genge lake kwahiyo watajifanya kujenga majengo kibao kwa ajili ya kula 20%... Madawa yanatengenezwa na MSD na wafanyakazi tume ya ajira hivyo hakuna pesa ya kupiga. Click to expand... MSD hawatengenezi dawa!
Savimbi Jr said: Miradi ndio wanapopiga pesa MECCO na genge lake kwahiyo watajifanya kujenga majengo kibao kwa ajili ya kula 20%... Madawa yanatengenezwa na MSD na wafanyakazi tume ya ajira hivyo hakuna pesa ya kupiga. Click to expand... MSD hawatengenezi dawa!
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Sep 1, 2020 #43 pancho boy said: Yaani mahusiano ya siku hizi mnaishi kwa wasiwasi sana utazani mnachemsha maziwa Click to expand... Hahaaa
pancho boy said: Yaani mahusiano ya siku hizi mnaishi kwa wasiwasi sana utazani mnachemsha maziwa Click to expand... Hahaaa
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Sep 2, 2020 #44 Bushmamy said: Tumsifu Yesu kristoo Click to expand... Hapo wabongo ndio mnapofeli, yaani mnamsifu marehemu Yesu, wakati msaada wa matibabu katoa Joho. Hamna shukrani kabisa nyau nyie.
Bushmamy said: Tumsifu Yesu kristoo Click to expand... Hapo wabongo ndio mnapofeli, yaani mnamsifu marehemu Yesu, wakati msaada wa matibabu katoa Joho. Hamna shukrani kabisa nyau nyie.