Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kwani mwenyewe alishawahi kuwaambia kwa nini alipatwa na shida ile?
Sio kila kazi au shughuli ni nzuri kwa Afya
Tuwe waangalifu na maisha yetu
Nilichowaza hapo 'in first place' nipo sahihi?[emoji848]