Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
yeah ni haki yako kuamini hivyo... hata mwingine ali amini Osama alishawahi ishi Mbagala...MIMI naamini Osama yupo hai
'
Pia,Naamini Osama hajawahi kuwa adui wa Marekani
'
Pia naamini Osama mpaka sasa anaishi Marekani
'
Tafadhalini,msiniulize nilikoyatolea haya,NI MIMI BINAFSI NDO NAAMINI HIVYO
'
It's better we keep it that way!
ni kweli Marekani huwa wanafanya uchunguzi kabla ya kuvamia basi watu wengine wanadhani Marekani huwa wanakurupuka tu kama serikali ya Tanzania na vyombo vyake vya usalama na Mkenya wao wa Dokta Ulimboka...Marekani wanafanya uchunguzi kabla hawajafanya mambo ya kuvamia/kufirinzi.
Osama hakuwahi kuishi Mbagala na haijawahi kuripotiwa kwamba aliwahi ishi Mbagala
Vinginevyo kama unayo report ya Osama kuishi Mbagala basi iweke pamoja na vithibitisho kabla hajarudi Afghanistan
Hii nayo mpya ya gazeti za udaku na haitotokea chini ya jua hili
Sasa na we RealMan mi nilidhani jina lako linafanana na tabia zako!
Kumbe hamna lolote!
We mtu akuandikie alicho kiona kwenye gazeti la sani!
Halafu we unaskia raaaaaha!
Na kumsifia juu!
Be real ma man! For real!
Not following the croud!
MIMI naamini Osama yupo hai
'
Pia,Naamini Osama hajawahi kuwa adui wa Marekani
'
Pia naamini Osama mpaka sasa anaishi Marekani
'
Tafadhalini,msiniulize nilikoyatolea haya,NI MIMI BINAFSI NDO NAAMINI HIVYO
'
It's better we keep it that way!
kahtaan
mimi kama mwanazuoni niliyekomaa nilikuwa nimekwisha muelewa Jamaa_Mbishi sema nikampima kidogo kwa logic...
Ngoja tudadavue kidogo hizi bayana.Acha uwongo, mbona report ya mission yake ilishawekwa wazi tokea alipouwawa kaisome acha stori za vijiweni. Taarifa za Osama zilitolewa na detainee watatu wa alqueda waliopo Guantanamo. wa kwanza ni Mastermind wa 9/11 Khaleed Sheikh Mohamed (KSM), huyu ndie alimtaja Courier wa Osama ajulikanaye kwa jina la Al Kuwait ambaye ndiye anaebeba maelekezo na mawasiliano yote kutoka kwa osama na kupeleka kwa foot soldiers, Wa pili kumtaja Al Kuwait ni Abu Zubeida, Huyu Abu zubeida pamoja na Ramzi Yousef ndio waliolipua WTC kabla ya 9/11. Abu zubeida kwanza aliteswa na CIA kwa kutumia Enhanced Interogation techniques kama water borne akagoma kutoa information yoyote, mpaka CIA wakamtishia kumkabidhi kwa intelligence ya Saudi Arabia wakiamini ataogopa maana Saudi Arabia wanajulikana kwa kutesa, wakashangaa anawaambia wampeleke Saudi. Hapo ndio CIA wakacheza trick wakampakiza kwenye ndege na kuzunguka naye muda mrefu angani wakijifanya wanampeleka Saudi Arabia mwisho wakatua naye sehemu hukohuko marekani wakawachukua maofisa wa CIA waarabu wakiwa na nguo za jeshi la Saudi Arabia wakaanza kumuuliza maswali hapo ndio akamtaja Al Kuwait, halafu akawataja wafadhili wa Osama akiwepo Mtoto wa mfalme wa Saudi, Generali wa Jeshi la Saudi na maofisa wengine wawili wa serikali ya Saudi na akawapa namba ya motto wa mfalme wampigie ili awaamrishe wamwachie. watu wote waliotajwa na Abu zubeida CIA waliwaua kuanzia mtoto wa mfalme alikutwa amekufa akiwa vacation, yule General wa jeshi alikutwa amekufa jangwani kwa kiu na kukosa maji na wale maofisa wote. Huo ndio ukawa mwanzo wa Osama kukosa hela (financial suffocation). wakaanza kumfuatilia Al Kuwait Pakistani wakamtrace akitokea sokoni hadi nyumba aliyokuwa akienda Abbottabad. Osama aliishiwa hela mpaka wake zake walikuwa wanaenda kwa sonara wanauza mikufu na herein zao ili wapate hela ya kula. Ndio CIA wakamkodia nyumba karibu na nyumba ya Osama Afisa wake aliyekuwa anafanya kazi katika Shirika la Save the Children ambalo lilikuwa linafanya kampeni ya kinga ya magonjwa ya watoto. Na sio kwamba eti marekani walikuwa wanachukua DNA za watoto na ku-match na za Osama huo ni uwongo kwa sababu kinga iliyokuwa inaratibiwa na Save the Children ilikuwa ni ya Matone sasa kuwapa watoto matone uta-extract vipi DNA. Aliyebaki sasa ni second in command wa alqaeda daktari wa Misri Ayman Al Zawahil ambaye naye inaaminika amejificha kwenye mpaka wa Afg na Pak.
Ebu soma hapa chini sijui wewe na FBI nani muongo.Acha uwongo, mbona report ya mission yake ilishawekwa wazi tokea alipouwawa kaisome acha stori za vijiweni. Taarifa za Osama zilitolewa na detainee watatu wa alqueda waliopo Guantanamo. wa kwanza ni Mastermind wa 9/11 Khaleed Sheikh Mohamed (KSM), huyu ndie alimtaja Courier wa Osama ajulikanaye kwa jina la Al Kuwait ambaye ndiye anaebeba maelekezo na mawasiliano yote kutoka kwa osama na kupeleka kwa foot soldiers, Wa pili kumtaja Al Kuwait ni Abu Zubeida, Huyu Abu zubeida pamoja na Ramzi Yousef ndio waliolipua WTC kabla ya 9/11.
FBI Announces List of 19 Hijackers
Washington, D.C. September 14, 2001
- FBI National Press Office (202) 324-3691
The following is a list of the nineteen (19) individuals who have been identified as hijackers aboard the four airliners that crashed on September 11, 2001, into the North and South Towers of the World Trade Center in New York, the Pentagon, and Stony Creek Township, Pennsylvania. Information listed for each hijacker differs, but may include date of birth, address provided, or visa status. This is the extent of the information available at this time.The FBI requests that anyone who may have information about these individuals-even though they are presumed to be dead- to immediately contact an FBI field office or call the toll-free hotline at 1-866-483-5137.American Airlines #77
Boeing 757
8:10 am departed Washington Dulles for Los Angeles
9:39 am crashed into the Pentagon1) Khalid Al-Midhar - Possible residence (s) : San Diego, California and New York, New York; Visa Status: B-1 Visa, but B-2 Visa had expired.2) Majed Moqed - No information available.3) Nawaq Alhamzi - Possible residence (s) : Fort Lee, New Jersey and Wayne, New Jersey and San Diego, California.4) Salem Alhamzi - Possible residence (s) : Fort Lee, New Jersey, and Wayne, New Jersey.5) Hani Hanjour - Possible residence (s) : Phoenix, Arizona and San Diego, California. Believed to be a pilot.American Airlines #11
Boeing 767
7:45 am departed Boston for Los Angeles
8:45 am crashed into North Tower of the World Trade Center1) Satam Al Suqami - Date of birth used: June 28, 1976; Last known address: United Arab Emirates.2) Waleed M. Alshehri - Dates of birth used: September 13, 1974/January 1, 1976/ March 3, 1976/ July 8, 1977/ December 20, 1978/ May 11, 1979/ November 5, 1979; Possible residence (s) : Hollywood, Florida/ Orlando, Florida/ Daytona Beach, Florida; Believed to be a pilot.3) Wail Alshehri - Date of birth used: July 31, 1973; Possible residence (s) : Hollywood, Florida, and Newton, Massachusetts; Believed to be a pilot.4) Mohamed Atta - Date of birth used: September 1, 1968; Possible residence (s) : Hollywood, Florida/ Coral Springs, Florida/ Hamburg, Germany; Believed to be a pilot.
5) Abdulaziz Alomari - Date of birth used: December 24, 1972 and May 28, 1979; Possible residence: Hollywood, Florida; Believed to be a pilot.United Airlines #175
Boeing 767
7:58 am departed Boston for Los Angeles
9:05 am crashed into South Tower of the World Trade Center1) Marwan Al-Shehhi - Date of birth used: May 9, 1978; Possible residence: Hollywood, Florida; Visa Status: B-2 Visa; Believed to be a pilot.2) Fayez Ahmed - Possible residence: Delray Beach, Florida.3) Ahmed Alghamdi - Possible residence: Delray Beach, Florida.4) Hamza Alghamdi - Possible residence: Delray Beach, Florida.5) Mohald Alshehri - Possible residence: Delray Beach, Florida.United Airlines #93
Boeing 757
8:01 am departed Newark, New Jersey, for San Francisco
10:10 am crashed in Stony Creek Township, Pennsylvania1) Saeed Alghamdi - Possible residence: Delray Beach, Florida.2) Ahmed Alhaznawi - Date of birth used: October 11, 1980; Possible residence: Delray Beach, Florida.3) Ahmed Alnami - Possible residence: Delray Beach, Florida.4) Ziad Jarrahi - Believed to be a pilot.
Teh teh teh teh, ebu soma hapa chini utajiri wa Osama.wafadhili wa Osama akiwepo Mtoto wa mfalme wa Saudi, Generali wa Jeshi la Saudi na maofisa wengine wawili wa serikali ya Saudi na akawapa namba ya motto wa mfalme wampigie ili awaamrishe wamwachie. watu wote waliotajwa na Abu zubeida CIA waliwaua kuanzia mtoto wa mfalme alikutwa amekufa akiwa vacation, yule General wa jeshi alikutwa amekufa jangwani kwa kiu na kukosa maji na wale maofisa wote. Huo ndio ukawa mwanzo wa Osama kukosa hela (financial suffocation). wakaanza kumfuatilia Al Kuwait Pakistani wakamtrace akitokea sokoni hadi nyumba aliyokuwa akienda Abbottabad. Osama aliishiwa hela mpaka wake zake walikuwa wanaenda kwa sonara wanauza mikufu na herein zao ili wapate hela ya kula.
TERRORIST mastermind Osama Bin Laden has topped a list of the world's 10 most wanted criminal masterminds - who are all multi-millionaires.
Bin Laden and other mega-rich criminals use their huge wealth and contacts on every continent to unleash an 'unprecedented crimewave that is borderless', an Interpol spokesman said.
The list was compiled by Forbes.com
"What they all have in common is that whether their crimes have occurred principally at the national or international level, their crimes have been so significant that they should be pursued globally," Interpol Secretary-General Ronald Noble said.
The world's law enforcement agencies have spent millions of pounds trying to track them down.
But because of their wealth and underworld contacts they have managed to disappear - and could even be living next door to us.
Bin Laden is the most wanted man in the world - with a price of £12.5million on his head.
He is believed to be hiding somewhere in the Waziristan region of Pakistan.
Read more: Bin Laden tops rich wanted list | The Sun |News
Bin Laden family on top 10 Arab rich list
December 27, 2012 Osama Bin Laden's family places #7 among the fifty wealthiest businessmen and families of the Arab world for 2012 according to Arabian Business. The Bin Ladens continue to be awarded lucrative public contracts by the government of Saudi Arabia-our "ally" in the global war against terror.
Unlike the Saudi oilmen who made their wealth directly from petrodollars, the Bin Ladens have always benefited from Saudi Arabia's second largest business-the hajj-and the construction and logistical support the massive annual pilgrimage requires. (Of course, the money for the public contracts wouldn't be there without the kingdom's oil wealth.)
Arabian Business explains the family's rising fortunes:As Saudi government spending keeps rising, so do the fortunes of the Gulf's most prominent family construction empire. Last year, the Binladin Group won deals to construct Prince Alwaleed's Kingdom Tower and the expansion of the King Abdulaziz International Airport in Jeddah. Between then the contracts are worth over $20bn. Adding to those deals was a bumper contract to help build the first phase of the Haramain railway link.And we'll always remember the most famous of his sons, for whose victims this wealthy family should be paying restitution.
The family fortune is based on a construction business that paid immense dividends when decades ago it was awarded contracts for major renovations at Mecca and other religious buildings in Saudi Arabia and abroad. Founded by Mohammed Binladin, the family also built several palaces in Riyadh and Jeddah for the royal family and carried out restoration work following an arson attack on Jerusalem's Al Aqsa Mosque in 1969. Salem, Mohammed's eldest son, ran the empire left behind by his father upon his death in 1968 until he died when his private plane crashed in Texas in 1988.
Mohammed left 54 sons and daughters from several marriages…
Huwajuhi AL Qaida.Aliyebaki sasa ni second in command wa alqaeda daktari wa Misri Ayman Al Zawahil ambaye naye inaaminika amejificha kwenye mpaka wa Afg na Pak.
Mambo ni mengi kwenye huu mkasa wa Osoma.bwana Ritz kwa hiyo umekuja na article ya kupinga kwamba Obama alidanganya siku aliyokufa Osama badala ya 1st May ni 28th April, sasa we kwa upande wako msimamo wako ni upi?
Halafu kumbuka kwamba wakati ile Operation inaendeshwa Obama alikuwa anaiona moja kwa moja white house au hukuwahi kuona ile picha wakiwa wanafatilia ile Operation?
halafu usidhani kwamba basi walikurupuka kujiendea kupiga ile operation pale Abbottabad, ina maana kwamba ilipangwa wataalamu wakaenda kupiga kazi
Kwa kiasi kikubwa America wamefanikiwa kulidhibiti kundi la Al Qaeda...
Sijapinga mimi wamepinga Wamarekani wenyewe mimi muuza kahawa taweza kweli kupinga hawa hapa waliopinga.bwana Ritz kwa hiyo umekuja na article ya kupinga kwamba Obama alidanganya siku aliyokufa Osama badala ya 1st May ni 28th April, sasa we kwa upande wako msimamo wako ni upi?
Nakumbuka hii hapa chini picha unayoisema.Halafu kumbuka kwamba wakati ile Operation inaendeshwa Obama alikuwa anaiona moja kwa moja white house au hukuwahi kuona ile picha wakiwa wanafatilia ile Operation?
Tumesoma humu kuwa Osama alikuwa anavaa kofia ya cow boy hili kukwepa satellite za Marekani, teh teh teh..
Mkuu wa chuo hilo swali umeuliza mara nyingi mno!bwana Ritz kwa hiyo umekuja na article ya kupinga kwamba Obama alidanganya siku aliyokufa Osama badala ya 1st May ni 28th April, sasa we kwa upande wako msimamo wako ni upi?
Halafu kumbuka kwamba wakati ile Operation inaendeshwa Obama alikuwa anaiona moja kwa moja white house au hukuwahi kuona ile picha wakiwa wanafatilia ile Operation?
halafu usidhani kwamba basi walikurupuka kujiendea kupiga ile operation pale Abbottabad, ina maana kwamba ilipangwa wataalamu wakaenda kupiga kazi
Kwa kiasi kikubwa America wamefanikiwa kulidhibiti kundi la Al Qaeda...
mkuu hurumia kidogo mbavu zangu kwa kucheka.hahahahahahahaTumesoma humu kuwa Osama alikuwa anavaa kofia ya cow boy hili kukwepa satellite za Marekani, teh teh teh..
duh! Osama kuvaa kofia ya cowboy hiyo mimi sijazungumzia, ila na hata mtu aliyezungumzia ina maana ana sababu hebu zifatilieni sababu...Ha ha ha ha!
Wee acha zako!
Hapo uliingia mzima mzima!
Je! Na ile ya kuvaa kofia ya cowboy si pia umengia mkenge!
Teh teh teh!
hapana hiyo picha mi siikubali kwasababu ni fake yaani wamefanya photoshop...Vipi hii picha ingine chini hapa unaikubali?
Photo of Osama bin Laden Dead is FAKE FAKE FAKE FAKE!
The picture posted above is an illustration of how the photo of Osama bin Laden dead is fake. This was a photoshop merge job with a dash of blur tool and some.
No comment, hapa imebidi nicheke tu...Tumesoma humu kuwa Osama alikuwa anavaa kofia ya cow boy hili kukwepa satellite za Marekani, teh teh teh..
ni kweli Marekani huwa wanafanya uchunguzi kabla ya kuvamia basi watu wengine wanadhani Marekani huwa wanakurupuka tu kama serikali ya Tanzania na vyombo vyake vya usalama na Mkenya wao wa Dokta Ulimboka...
Vyombo vya usalama vya Tanzania havina tofauti na green guard ya CCM...