Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Kwa kweli naandika post hii kuwapongeza wanaoishi Pemba, kwani hata katika statistics za afya, kule ndio kwenye maambukizi kidogo zaidi ya Ukimwi.
Nakumbuka niliwahi kuwa Pemba kwa siku chache, ambapo pamoja na tamaduni tofauti zilizokuwa zinanishangaza, lakini moja ilinishangaza zaidi; Kwa siku sita nilizokaa pale, sikuwahi kuona hata mkono (zaidi ya viganja) na nyuso (kwa wachache) kwa wanawake. Ni full baibui na vilemba.
Nilikuwa nafundisha katika warsha fulani na walipotakiwa kufanya group discusion, haikuruhusiwa kuchanganyika wanawake na wanaume. Hii ilileta ugumu kwani ilipofika wakati groups zipresent kazi zao, ilikuwa shida sana kutokea mwanamke awakilishe group yake, na hata tuliposisitiza sana, basi waliojitokeza hawakuwa wanaweza kuelekeza kitu ubaoni , kwani kwa kufanya hivyo wangewageuzia watu maumbile yao kwa nyuma, na pengine angelazimika kunyanyua mkono na kufanya pengine kiwiko kionekane!
Walivyostrict na sheria zao, nikajiuliza, 'hivi Pemba kunaweza kuwa na zinaa'?
Kwa kweli zilikuwa siku chache ambaye kwa watu tuliozoea huku kwetu changanyikeni, zilikuwa ngumu sana...