Maisha ya shule bwana!!!!!!

Maisha ya shule bwana!!!!!!

Sasa hapo mpiga picha si ameshawachomea kwa ticha wao!
 
hawa wakikuwa na wakiwa viongozi watakuwa mafisadi kama che......e! teh teh teh...
 
ndio maisha ya watoto,ndugu zetu tafauti ya maisha ni kubwa mno,adi leo hii,kweli adi tufike kuna mwendo
uwa naskia uchungu sana,mara moja moja naendaga izi shule kujitolea tu kwa lolote
 
ndio maisha ya watoto,ndugu zetu tafauti ya maisha ni kubwa mno,adi leo hii,kweli adi tufike kuna mwendo
uwa naskia uchungu sana,mara moja moja naendaga izi shule kujitolea tu kwa lolote
Kweli kabisa AZA hebu angalia tofauti kubwa iliyopo kati ya wanafunzi katika picha ya kwanza na ya tatu, kuna tofauti kubwa sana.
 
Back
Top Bottom