Halafu kingine hapo hakuna kupiga chabo, ukikwama inabidi uwe mpole.
Duuu hiyo picha ya tatu huyo mwenye bluu ni ticha?:smile:
hawa wakikuwa na wakiwa viongozi watakuwa mafisadi kama che......e! teh teh teh...
Kweli kabisa AZA hebu angalia tofauti kubwa iliyopo kati ya wanafunzi katika picha ya kwanza na ya tatu, kuna tofauti kubwa sana.ndio maisha ya watoto,ndugu zetu tafauti ya maisha ni kubwa mno,adi leo hii,kweli adi tufike kuna mwendo
uwa naskia uchungu sana,mara moja moja naendaga izi shule kujitolea tu kwa lolote