Teh ni hobby tuHeee!acha bhana
Asa ugumu unakusaidia nini?
Afu mbona picha haiji kabisa ya Daby kuwa mgumu
Mmmh!hongeraTeh ni hobby tu
J ninaugumuugumu wangu.
Haya bhana....Asante lknMmmh!hongera
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahah,hii mada bhana imenikumbusha darasa la sita kama sikosei,kulikuwa kuna mtindo wa kumpora mtu yeyote atakayerembesha mbele zako kitu cha kula alichonacho ni kama ukibaka tu ule ulikuwa,sasa hiyo siku bana vijana sisi ambao hatukuwa tunapewa pesa ya kula shule bhana muda wa kwenda nyumbani nkatoka nje ya geti la shule pale palikuwa n watu wanauza ice cream,ubuyu,ufuta,n.k si ghafla akatokea msichana bhana akanunua ice cream asee sasa akaila kidogo halafu akawa kaishika kizembe anwaringishia wenzake,heheh kilichofata hapo mi nlisikia kelele tu nyuma huko maana nlipiga hesabu zangu pale nikapiga mkono ule kushutuka ice cream iko mkononi mwangu wakati bado anashangaa mnyama nshakata kona naitafuta road ya kwenda home,hahaha asee sijawahi sahau.
alikukamata unapiga chabo[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mm nlikuwa na tabia ya kuweka kile kichongeo chenye kioo chini wasichana wakipita niwangulie bahati mbaya akapita mwalimu mkuu.....nilichokipata sitasahau
Daah hiyo namba 7 ilininyemelea sana form 3 na form 4... Na kuiba pilau kwenye Canteen ya walimu [emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau
7. Ulevi na kula wida
8. Wale wa kutupia guso/ugoro
9. Wizi stoo ya shule.
10. Mapenzi
Aseeh acha tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Bana weeee umenkumbusha mbali Sanaaaa mara sec
Sku1 parade walkua wanakagua soks af nlkua sina bas nkapiga zangu mfuko ile meusi mguuni mara s condmaster huyuapa em pandisha suruale... Kucheki c akaona kitu kinan'gaa alnipiga bakora stasahau
always tulkua tunachit ivo ila ule mfuko ulkua na mafuta ya mandaxi so ulkua unangara ataree
12. Much know!11.wapole/wakimya
Yani hawa mwaanzo hadi mwisho wa vipindi yeye ni kimyaaaa,hawanaga marafiki/makundi
Koh wida umekula wewe...Daah hiyo namba 7 ilininyemelea sana form 3 na form 4... Na kuiba pilau kwenye Canteen ya walimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nilisoma girls tupu!!! Sa chekishia mziki wake!!!Koh wida umekula wewe...
Kuna vidada fulani vilikuwa vinaogopa ya kumoker ila ya cockies walikuwa wanafakamia kinoma
Same to me. Boys.Mi nilisoma girls tupu!!! Sa chekishia mziki wake!!!
Hahhah12. Much know!
Hawa walikua wanakeraaa! Kuna mdada alikua anatuburuza darasanii!! Ata ufutrukute vipi, ye anaongoza tu. Anashinda kufanya past pepers kila dakika. Alikua anachukiwa ile mbaga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahhah
Kuna wale much know ila kichwani hamnazo[emoji23] yani kila kitu anajibu yeye akati anakosea
of course umenikumbuxh mbali san duuu ss tulikuwa bakabench tunasumbua darasan san hat km sir yumo classDaaah! yaani nimekumbuka jamaa yangu anaitwa mgaya aliiba kiti cha shule nyakati za jion walinzi walipo muona walimkimbiza mpaka kwao na kumkamata ..Ilikua gumzo sana.
Unapiga shati pasi kisha unaweka vile vimichoro/vimistari kwa nyuma hivi sio[emoji1] [emoji1] [emoji1]Aaaa, umenikumbusha mbali enzi hizo nilikuwa tozzy balaa