Maisha ya shule na matukio yake yenye kufurahisha

Maisha ya shule na matukio yake yenye kufurahisha

Hahah,hii mada bhana imenikumbusha darasa la sita kama sikosei,kulikuwa kuna mtindo wa kumpora mtu yeyote atakayerembesha mbele zako kitu cha kula alichonacho ni kama ukibaka tu ule ulikuwa,sasa hiyo siku bana vijana sisi ambao hatukuwa tunapewa pesa ya kula shule bhana muda wa kwenda nyumbani nkatoka nje ya geti la shule pale palikuwa n watu wanauza ice cream,ubuyu,ufuta,n.k si ghafla akatokea msichana bhana akanunua ice cream asee sasa akaila kidogo halafu akawa kaishika kizembe anwaringishia wenzake,heheh kilichofata hapo mi nlisikia kelele tu nyuma huko maana nlipiga hesabu zangu pale nikapiga mkono ule kushutuka ice cream iko mkononi mwangu wakati bado anashangaa mnyama nshakata kona naitafuta road ya kwenda home,hahaha asee sijawahi sahau.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Mm nlikuwa na tabia ya kuweka kile kichongeo chenye kioo chini wasichana wakipita niwangulie bahati mbaya akapita mwalimu mkuu.....nilichokipata sitasahau
alikukamata unapiga chabo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Umesahau
7. Ulevi na kula wida
8. Wale wa kutupia guso/ugoro
9. Wizi stoo ya shule.
10. Mapenzi

Aseeh acha tu.
Daah hiyo namba 7 ilininyemelea sana form 3 na form 4... Na kuiba pilau kwenye Canteen ya walimu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bana weeee umenkumbusha mbali Sanaaaa mara sec
Sku1 parade walkua wanakagua soks af nlkua sina bas nkapiga zangu mfuko ile meusi mguuni mara s condmaster huyuapa em pandisha suruale... Kucheki c akaona kitu kinan'gaa alnipiga bakora stasahau
always tulkua tunachit ivo ila ule mfuko ulkua na mafuta ya mandaxi so ulkua unangara ataree
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
11.wapole/wakimya
Yani hawa mwaanzo hadi mwisho wa vipindi yeye ni kimyaaaa,hawanaga marafiki/makundi
12. Much know!

Hawa walikua wanakeraaa! Kuna mdada alikua anatuburuza darasanii!! Ata ufutrukute vipi, ye anaongoza tu. Anashinda kufanya past pepers kila dakika. Alikua anachukiwa ile mbaga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah hiyo namba 7 ilininyemelea sana form 3 na form 4... Na kuiba pilau kwenye Canteen ya walimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Koh wida umekula wewe...

Kuna vidada fulani vilikuwa vinaogopa ya kumoker ila ya cockies walikuwa wanafakamia kinoma
 
12. Much know!

Hawa walikua wanakeraaa! Kuna mdada alikua anatuburuza darasanii!! Ata ufutrukute vipi, ye anaongoza tu. Anashinda kufanya past pepers kila dakika. Alikua anachukiwa ile mbaga [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhah
Kuna wale much know ila kichwani hamnazo[emoji23] yani kila kitu anajibu yeye akati anakosea
 
Daaah! yaani nimekumbuka jamaa yangu anaitwa mgaya aliiba kiti cha shule nyakati za jion walinzi walipo muona walimkimbiza mpaka kwao na kumkamata ..Ilikua gumzo sana.
of course umenikumbuxh mbali san duuu ss tulikuwa bakabench tunasumbua darasan san hat km sir yumo class
 
Hata mm nilikuwaga mkolofi san had nikampiga sir fuln alikuwa anazingua san class
 
La nne kuna jamaa nilikuta anataka kumpiga msichana nikaingilia nikatoa kipigo kwa yule jamaa, yule jamaa akaenda kusema kwa kaka yake (wote tupo la nne). Kaka yake akaja na crew ya watu watano wakawa wanataka kunishushia kipigo, mimi nikawaambia kama mnaona mnaniweza usiku tukutane uwanja wa mpira tuzipange mmoja mmoja, wakakubali.

Usiku na mimi nikaenda na crew yangu, tukakutana tukakubaliana awe anatoka mmoja huko mwingine huku upande utakaochezea sana ndiyo umeshindwa.

Sasa ule upande wakaja na mamluki huyo mamluki kwanza kijeba hakisomi ndo kimeletwa kije kunituliza, tukapanda ulingoni.

Yule jamaa alikua anarusha ngumi za uso tu, mpaka nakuja kujua kwamba sasa niweke gadi usoni nilikua nimechezea zaidi ya mara saba. Mimi nikawa nampiga vichwa na ngumi za tumbo na kifua mwisho akaenda chini.

Walivyoona back up ya nguvu iko chini washkaji wakatoka nduki, sasa kesho yake zile sehemu zote alizopiga jamaa zinavuta ile sehemu niliyotumia kupiga vichwa imeota nundu.

Kisa Salome.
 
Back
Top Bottom